kumbe majini na watu wasio wadunia hii unaweza wasiliana nao kuptia simu tena kwa sms, makubwa!!!!
Na mkeo alikuwa akipgiwa simu na namba ya kiarabu na kutumiwa sms za kiarabu akitaarifiwa kinachoendelea ni vipi alielewa pasipo kuijua lugha ya kiarabu.
Hii story ya kutunga na mtungaji bado hajawa nguli wa kutunga story
upo sahihi kabisa, ujumbe umewafikia. matomaso bado ni weeengi.Mlengwa alituma ushuhuda wake blog ya ushindi si jf, ila naona limetimia neno la mathayo 7;12 "msiwape mbwa kilicho kitakatifu wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe wasije wakazikanyaga na kugeuka kuwararua". Kwa hiyo nguruwe na mbwa mna haki ya kukanya shuhuda njema za ukuu wa mungu, maana zaidi ya ngono hakuna chochote mnachoweza kukisifia.
Wajinga ndio waliwao.
Hivi jini lazima liwe mwarabu...haliwezi kuwa mswahili,mchina,mzungu au muhindi au kuna ujumbe flani mnafikisha kwa hadhira yaani uarabu=uislam. mmmmh fresh..ila inashangaza kila hadithi ya jini basi lazima awe mwarabu tena wengine utasikia alikuwa kavaa baibui na mtandio. Hongera mkuu.....ila jaribu kuongeza juhudi za uandishi maana its too childish....
Wajinga ndio waliwao.