Wewe ni mwanamke wa aina gani? Kama ningekua Mme wako ningekuchapa kichapo cha Punda mpaka ukaacha kuniamrisha. Na tena ungejua nani alieoa na alieolewa. Ungejua tofauti ya mme na mke!!!
Hmm! Jambo gani gumu hivo ambalo huwezi kulianika na kutiririka hapa mpaka uPM mtu? Weka wazi kila tatizo lako hapa naweza kukusaidia na USHAURI, MAONI NA KUKUNASIHI..lol Usiogope kuleta mada mpya kila siku. TUNAHAMU yakujua kinachokusibu na kukusumbua ili tukusaidie kwa HALI na MALI ikibidi! Lol
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.