Recent content by Radio Producer

  1. Radio Producer

    Putin amuonesha Trump who is the boss ?

    Kwamba dunia iliyoumbwa na Mungu imalizwe tamati na Putin asee.
  2. Radio Producer

    Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

    Umezaliwa kwenye Ukristo, Umekulia kwenye Ukristo bahati mbaya umeondoka kwenye Ukristo bila KUMWAMINI YESU NA KUMPOKEA ROHO MTAKATIFU. Hapo huwezi kujua hata chembe ya maana ya Ukristo.
  3. Radio Producer

    Botswana ndio wamechagua huyu wakamuacha Progressive Masisi?! Majanga matupu

    Mkuu unajudge kutokana na hiyo picha au ni school mate wako huyo jamaa?
  4. Radio Producer

    Kufungua kituo cha radio kinagharimu kiasi gani?

    Mkuu naomba mawasiliano yako whatsapp nikutumie muongozo 100% kuanzia A-Z. Tumewezesha zaidi ya radio 20 kuanzishwa hapa Tanzania since 2012. Asante
  5. Radio Producer

    Kufungua kituo cha radio kinagharimu kiasi gani?

    Kazi nyingi kuanzisha maradio ya watu. Nilipoonq thread nikaona mtu kanitaja ndo kuanza kutafuta "pasuwedi" mwisho nikaweza kuingia. Kwasasa tunakampuni kubwa inadeql na haya mambo:- 1. Ushauri wa Awali wa Hatua za kuanzisha radio. 2. Kuandaa nyaraka za maombi ya leseni. 3. Tuna duka la...
  6. Radio Producer

    Kufungua kituo cha radio kinagharimu kiasi gani?

    Asante mkuu, Huyu member akaribia ofisini ama.dukani kwetu Mlimani Tower Opp na Mlimani City Floor ya 7
  7. Radio Producer

    Ugawaji wa masafa ya redio: Ni kwanini kusiwe na ''frequency'' moja kwa kituo kimoja cha redio nchi nzima?

    Nikujibu Kitaalam, 1. Serikali kupitia mamlaka huanza kugawa masafa tofauti pale radio inapoomba leseni ngazi ya kikanda (regional) ambapo hupewa masafa 9 (booster stations). Kiufundi:- Radio ikifunga mtambo labda tuseme wa 2KW na mfumo wa antenna unaofikia dB14gain tuseme radio hii...
  8. Radio Producer

    Ujenzi wa nyumba kwa kutumia mbao Tanzania

    Nimecheka sana na hii comment yako mkuu. Kuna msemo unasema hivi:- UKIPITA DASLAMU UKAUONA MJI UNAPENDEZA NA KUMEREMETA HAYO YALIKUWA NI MAWAZO YA WATU. Nakutakia jioni njema mkuu.
  9. Radio Producer

    Ujenzi wa nyumba kwa kutumia mbao Tanzania

    Asante mk Asante sana mkuu
  10. Radio Producer

    Ujenzi wa nyumba kwa kutumia mbao Tanzania

    Ndo wanaojenga mkuu au unamaanisha Mchwa wadudu?
  11. Radio Producer

    Ujenzi wa nyumba kwa kutumia mbao Tanzania

    Wakuu habari za Jumapili? Samahani naomba mawazo ama ushauri ni wapi kwa Tanzania naweza kupata mtalaamu anayeweza kunijengea nyumba ya kawaida ndogo (vyumba 4) kwa kutumia materials kama zinavyoonekana kwenye picha. Ama mawazo ya namna gani naweza kufanikisha wazo langu hili? Nitashukuru...
  12. Radio Producer

    Kufungua radio station

    Asante mkuu kwa wito
Back
Top Bottom