Recent content by raass

  1. raass

    Baada ya Kumaliza Kazi Dimani-Zanzibar tunarudi Dar

    [emoji48][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  2. raass

    Acheni chaguzi ndogo zije ili waone kama sera ya kutumbua majipu inalipa

    Mnadhani Siasa ni internet bundle eehh [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siasa ni vitendo mzee siasa sio ku type vijembe na nyaraka mitandaoni.... Haya ya huku hayawafikii wananchi.... Pia mjue wengi wanaoshinda humu mitandaoni licha ya kudharau pia hawana time na kupanga...
  3. raass

    Msaada kidogo swali DS hapa

    huyo ni wa Geography
  4. raass

    Msaada: Data processing katika research

    hahah mkuu umemaliza!
  5. raass

    Msaada: Data processing katika research

    Daahhh.... wewe pia kama sio JIPU... basi ni zao la BRN... hebu acha utumwa... tumia lugha unayoweza kuimudu sawasawa!
  6. raass

    Msaada: Data processing katika research

    DUHH... HAHAHAHA KAAZZ KWELIKWELI....... HIYO RESEARCH CONSULTANT FIRM YENU ...NI JIPU... INAHITAJI KUTUMBULIWA -ASAP- hizo TESTES ulimaanisha KENDE ama nini?? na vitu vyenye umeelezea hapo... it seem ww ni either Kibaha au dalali tuuu..... Hujui kitu kwenye hiyo field...
  7. raass

    Mwanaume kufa mapema

    Tafuta takwimu za Vizazi na Vifo hapa Tanzania
  8. raass

    Mwanaume kufa mapema

    Tunaangalia DEATH RATES vs BIRTH RATES ..... kuzaliwa MALES ndio wengi... but KUFA pia ndio wengi
  9. raass

    Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?

    Ni mnyoo Anaitwa GUINEA WORM au LITTLE DRAGON OF MEDINA ni huyo mnyoo kumtoa mwilini ilikua lazima uchomeke stick na kuizungusha ndio umtoe.... sasa baada ya jaribio hilo kufaulu ni alama ya ushindi kwenye sekta ya afya ulimwenguni. ila wataalamu wa udakitari na afya wanajuza vizuri kuliko mimi
  10. raass

    Nimekunywa dawa za kuongeza nguvu na nikatoswa, sasa chamoto nakiona!

    sasa ndio uone faida ya kufuga domestic animals.... like sheep goats & cows
  11. raass

    PSPF na mikopo ya elimu

    nadhani alimaanisha... TPDF
Back
Top Bottom