Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,993
- 144,329
Habari wakuu,
Hawa jamaa hivi sasa ni kama wamebweteka na sera yao ya kutumbua majibu wakidhani wananchi wanawakubali sana ili hali sera yao hiyo imejaa doublestandard huku miezi minane ya utawala wa awamu hii ukiwa haujaleta changes zozote kwa mwananchi wa kawaida zaidi tu ya kuongeza ugumu wa maisha.
Hivyo basi,nyie wacheni chaguzi ndogo zije ili tuwatie adabu na waju kuwa wananchi sio wajinga kama wanavyofikiri.
Hata hivyo, ni lazima tujipange katika katika kulinda kura zetu kwa kuweka watu/mawakala ambao hawataweza kununulika au kurubuniwa kwa njia yoyote ile.
Nina hamu sana na hawa jamaa maana kelele zimezidi wakidhani jamaa yao ndio atawabeba kwa anayoyafanya na wanajidanganya kuwa mheshimiwa sana anakubalika kutokana na style ya uongozi wake hivyo wacheni tuwatie adabu na kuwanyamazisha kupitia majukwaa ya kisiasa.