Baada ya Kumaliza Kazi Dimani-Zanzibar tunarudi Dar

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Tunarejea Usiku huu Dar baada ya Matokeo kuwa 1-0 na 20-0 respectively nnaomba watanzania wenye Mapenzi mema Mtuombee mabingwa wa Siasa Nchi hii Chalii .......Garagaza Hali ya Bahari ni Swali kabisa Uzi huu hautasogelewa na UKAHAWA

IMG_20170122_153010_321.JPG
 
Upinzani wa nchi hii bhana mtu anapiga kelele kumbe yupo UK hata kura hapigi. Mi nishamaliza kufanya figisu zangu hapa Dimani na hali ya uwanja shwari kabisaaa.
 
Tunarejea Usiku huu Dar baada ya Matokeo kuwa 1-0 na 20-0 respectively nnaomba watanzania wenye Mapenzi mema Mtuombee mabingwa wa Siasa Nchi hii Chalii .......Garagaza Hali ya Bahari ni Swali kabisa Uzi huu hautasogelewa na UKAHAWA

View attachment 462848

Duh balaa tupu siamini wametoka na zero,mbona wanakua na kelele .
 
kazi kweli kweli, goja nivute pumzi kwanza narudi baadaye maana hii ngoma ilikuwa nzito
 
Back
Top Bottom