Kwa bahati mbaya nimechelewa kuona hii ishu yako, nilishakutana na kitu kama hiki, ki msingi ungetakiwa kudeal na ileile msg aliyoikosea sasa ungefanyaje?
Baada ya kurudi home ilitakiwa umkazie athibitishe pasi na shaka alikua anachat na huyo aliemtaja.
Kwenye ukatoliki wanaweka wazi kabisa kua Padri hafungishi ndoa bali husema wanashuhudia ndoa anaefungisha ndoa ni Mungu mwenyewe kwa maana ndiye aliewaunganisha wahusika. Mimi nilipata fursa ya kuwahoji baadhi ya mapadri wakanijibu wao ni mashuhuda tu.
Wakati mwingine vijana mnapenda kujichosha demu umekutana nae kwenye bus ukampata siku hiyohiyo wewe unaweka malengo kabisa alafu eti unakua na wivu, inawezekana alikuzawadia tu ila ana mtu wake. Achana nae
Nyie mnaoanzisha thread kama hizi hua mnatukosea sana mmekua mnakurupuka kutuuliza bila hata nyie kuhusika na hicho mnachouliza, weka wewe kwanza kisa chako na sisi tutiririke kama mimi nina mengi ila siwezi kuyashusha hapa kama wewe umeuliza alafu unakaa pembeni.
Jamaa kauliza hapo juu je kunakua na ushahidi wowote kua siku flani ulisavey maana Tanzania yetu tunaijua leo unaambiwa ni makazi kesho kuna mzito katia pesa ndefu unaambiwa matumizi yamebadilishwa.
Siku nyingine usirudie, kuna mbinu mbili tu
1. Kuomba kwa upole hiyo ukikosa unatulia kama hutaki.
2. Kuforce, hii inatakiwa ujihakikishie mazingira yanaruhusu na hutakiwi kuongea sana na usiruhusu kusikiliza chochote mpaka uhakikishe umetoboa na asikudanganye mtu watoto wa kike wanapenda...
Ndoto ni njia ya wewe kupewa taarifa flani, inawezekana Mungu akawasiliana na wewe kwa njia ya ndoto au shetani anaweza akatumia njia hiyohiyo ya ndoto.
KITU CHA MUHIMU KUHUSU NDOTO SIO KUJUA TAFSIRI YAKE BALI NI KUISHUGHULIKIA. NA USIACHE SIKU 3 ZIKAPITA BILA KUISHUGHULIKIA
Unaishughulikiaje...
Hili swali kwa kiasi fulani limekaa ki’mbumbumbu, samahi kwa hilo neno nililotumia. Inabidi utambue kila mtu hapa ulimwenguni yupo kwa kusudi flani/maalumu. Na ukijua kusudi lililokuleta hutaogopa hatari yoyote. Kwahiyo unapomuona mwanajeshi wa kweli alieapa kuilinda nchi yake ujue ujeshi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.