Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

Story nzuri sana mzee.... Thumb up... Umenipa burudani kwa masaa matatu...
Netflix wametangaza kutoa dau nono kwa mwandishi wa story kutoka Afrika nna uhakika hii uki submit utaweza pewa dau nono utoe movie kabisa
Ebu ongeza nyama kwa mchongo huo wa Netflix
 
Back
Top Bottom