Recent content by qwa sem

  1. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    Kweliii
  2. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Maoni yako: Watu wa Mtwara wana hoja ya msingi katika madai yao?

    Mmmmmmm
  3. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Suala la Magufuli ni VITA YA URAIS 2015!

    Msijali wana harakati mapinduzi ya kweli yako mikonon mwetuuu
  4. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Watanzania: Namna Mtwara na Lindi inavyonufaika na gesi

    Kwakuandika tuuu.....kuandika tuuu hatujambo....ila utekelezaji saaasaaa.......doansi iliandikiwa richmondi vivyo hivo..rada pia..ndege ya rais...pembejeo kwa wakulima baaasi hata ges hatuto shundwa andikia........serekali kueni wachum...safirishen finished goods na sio raw...
  5. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Shujaa wa gesi aliyepigwa risasi-rip mr.karim

    Ila watanzani tue macho
  6. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Kuelekea maadhimisho ya bob marley day 18 may

    Yeeeeeees raaaaaaastaman.......get dis gwain COMING FROM THE COLD (baadhi ya mistari........ the big man u ever seen was once a baby.............when on door is closed many other are open......bob 4 life he is a sleep bt his philosophy is still awake.
  7. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa na vifaa vya milipuko jijini Dar es Salaam - hali inaogopesha!

    Uongozi wa serekali inabidi ujipange.......
  8. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Michango ya wafanyakazi NSSF,PSPF na PPF ni Unyonyaji..

    Nikweli mdau mimi ni miongoni mwa wadau wa uchum hapa nchin japo sijigambii...na nazitumia hizo istitution ila ukweli nikwamba wanajijali zaidi na sio kujali wanachama......kainterest wanatoa ila ukilinganisha na law ya creadit creation...ni kwamba hawana tofauti na monopolist in market...
  9. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Tunawajibu wa kuboresha elimu yetu

    Mmenena vijana......ila tukumbuke usipo ona umuhimu wa golikipa uwanjani basi subiri kufungwa na hichi ndicho kulicho tokea tz. Na kuieka kwenye genius book of record....kwa tukio la kufuta matokeo kisa wanafunz yapata lakitana asilimia 20 tuu ndo wamefaulu!
  10. qwa sem

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    Bwana katoa n kutwaa
  11. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Hatimaye rais Kikwete ajiunga na JamiiForum !

    Mweshimiwa saaana atakua kafanya uamuzi wabusara ili kupata maon ya wataalam
  12. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Best friends

    I ' ll do wat friends are for........
  13. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya form IV yasichakachuliwe kama kura za ubunge na za rais

    Ina uma saaaana.....maaana kama maendeleo ni elimu halafu wachakachue tena balaaa!!!!!!!!!!
  14. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mlipuko Arusha linganisha matukio haya, je yanawiana?

    Hivi tutaona watoto wetu kweeeliii!
  15. qwa sem

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Daaaa inauma saana...kama nasi tunafikia hatua ya kuuana bila sababu za msingi!
Back
Top Bottom