Recent content by Qulin

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Msaada shule nzuri ya masista Kwa Dar essalaam

    Canossa bilashaka
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Yanga tumefanyiwa udhalilishaji mkubwa sana. Naona hata aibu

    Utopolo bana wanapenda kulipiwa hao
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?

    Wazee ambao ndio wanapewa kipaumbele hawataki hata kusikia habari ya chanjo, ushauri wangu pengine viongozi wetu ngazi za juu wangeanza kuchanjwa kwanza wao ili kuleta hamasa na kuwadhibitishia wananchi kuwa haina madhara.
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)

    Tsh billion 273 ziliacha zimetolewa na mwenda zake kwaajili ya SGR Mwanza- Isaka, kwahivyo Mama ameongeza zingine au!?
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru akiwa Bungeni

    Ikiwa hivyo basi na mama nae hafai cz kaonyesha wazi kubadilika kutoka kwenye misimamo yake ya kwanza and nw time unaweza kudhani hakuwepo kabisa
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Demokrasia inavyohujumiwa CCM. Mwenyekiti hana mshindani

    Usichokijua ni kwamba unapokuwa Rais unaetokana na CCM unakuwa moja kwa moja mwenyekiti wa chama.
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

    Unataka kusema Chato ni Kenya au!? Kaa kwa kutulia
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Siridhiki na utendaji wa Baraza la mitihani la Taifa, NECTA

    Duniani kote huo ni utaratibu wa kawaida lazima uwatambua wanafunzi bora pamoja na shule zilizofanya vizuri zaidi
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Wasafiri watapimwa covid19 kwa dola 100

    Mtu anaenda kuosha macho huyo dollar 100 bado ni kidogo hata wazungu wanapokuja kuosha macho huku wanalipa zaidi ya gharama za kawaida
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Kamati Kuu ni watu wasiojielewa wametawaliwa na tamaa..na hivi wanategemea sikuhizi Akili ya kigogo kafanya maamzi ndo basi tena
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya vikundi

    Sorry mkuu apo number 1 unamaanisha shughuli hiyo iwe ya kikundi or?
  12. Q

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Jibu sahihi ni 26 tumieni vizuri akili zenu
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na GPA kubwa,, Huwezi kosa kazi ya kile ulichosomea ,naamini hvyo..

    Kuna kaukweli fulani hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri ya wasicha private

    Ndugu kwa ambae anafahamu shule nzuri ya wasichana yenye gharama nafuu anisaidie, kuna mtoto wa dada yangu kamaliza mwaka huu darasa la saba na wazazi wamechelewa kumtafutia shule, kwa anaejua ukiniambia na gharama za shule husika itapendeza zaidi!
Back
Top Bottom