Recent content by Qulfayaqul

  1. Qulfayaqul

    Mtangazaji wa Habari RFA Ahukumiwa jela miaka 30 Baada ya Kubambikiwa Kesi! Inasikitisha Sana

    Haiko straight, kama kuna vitu vimefichwa Jaribu kuelezea kila kitu kuna wajuzi wa mambo ya kisheria watakusaidia ila ukificha hivi hali itakuwa mbaya
  2. Qulfayaqul

    Jana nimekula mzigo leo nimeamka Naumwa

    Inaonekana hauna mazoezi, umepatwa na kitu inaitwa muscular clamp, expansion ya misuli, ambayo imefyonza oksijen kwa wingi. Kwako mwalimu Kashasha
  3. Qulfayaqul

    Kijana anayeendelea kushabikia upinzani Tanzania apaswa kupimwa uelewa wake!!

    Sina mpango wa kupiga kura tena katika maisha yangu yaliyobakia duniani. Wanasiasa wote ni waongo, kuleta maendeleo ni wajibu wao hakuna sababu ya kupongezwa tumewapa dhamana ya kumiliki kodi zetu zote wanazotukamua haina sababu akifanya kitu lazima apongezwe ila asipofanya na hela zetu...
  4. Qulfayaqul

    Msaada wa nauli: Nimeitwa kwenye usail Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB), Moshi-Kilimanjaro

    Mihangaiko personal kama hii kwanza unaanza na ndugu zako, then ukiona hali imekuwa tight ndio unakuja kwa jamii, nadhani umekosea ni ngumu sana kukusaidia katika namna uliyokuja haswa ukizingatia umeweka hadi kiwango hii inaonesha MASHAKA kidogo. Jaribu kwa jamii yako ya karibu, kaka, dada...
  5. Qulfayaqul

    House4Sale Nyumba inauzwa hajakamilika

    Bei rahisi sana mkuu, ni yako kweli? au kuna shida hapoo????????
  6. Qulfayaqul

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Jamani ninyi DAWASCO kule Mbezi Maeneo ya Malamba Mawili ni lini mtatuletea mabomba ya maji na maji yatoke ?? Tuna shida sana ya maji sana jamani maana tunasikia tu sasa hv mnazalisha maji mengi sana lakini wenzenu tunateseka tunanunua maji ya kwenye Magari Zaidi ya miaka mi nne sasa, maji hayo...
  7. Qulfayaqul

    Ufahamu kuhusu taasisi Ya mikopo Platinum Credit

    Hawa jamaa ni wababaishaji sana niliwahi kukopa 2millioni but nililipa almost 3million, Zaidi yz 50% interest, in short ni wezi
  8. Qulfayaqul

    Mwanaume ukitumia aina hii ya chai hutodanganywa kamwe na matapeli wa kutibu nguvu za kiume

    Naona kama kuna ukweli na maneno yako, nikiwaga na mkwanja confidence inaongezeka kinoma aiseee
  9. Qulfayaqul

    Air Tanzania ni bomu linaloandaliwa kuimaliza awamu ya 5

    wengine wamekulia Masaki Jamani, hawajawai kumuona nyuki wala manyigu
  10. Qulfayaqul

    Elections 2015 Magufuli anatukwepa - BBC Swahili

    sio lazima kuhojiwa ili iweje na itabadilisha nn akihojiwa, achene amalize muda wake afanye anayoyaamini then tutachagua rais mwingine anayependa kuzurura huko Uraya, mbona kama misaada wanaleta bila ya yeye kuifuata, musitake kumuahibisha na vingereza vyenu vya Academy school mtoto wa mkulima...
  11. Qulfayaqul

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    NI LINI MTASAMBAZA MAJI MAENEO YA KUANZIA MBEZI MWISHO KUPITIA BARABARA YA MALAMBA MAWILI MPAKA KINYEREZI, TUNAPATA SHIDA SANA JAMANI TUNANUNUA MAJI KWA BEI GHARI SANA NA SOMETIME WAUZAJI WANATUUZIA MAJI MACHAFU NA YENYE CHUMVI KILIO CHET MTAKIMALIZA LINI. MAANA TUNASIKIA TU MNA MAJI MENGI SASA...
  12. Qulfayaqul

    Usiache demu Guest

    Utakufa pimbi wewe unajivunia ujinga, tafuta maisha yako saidia ndugu zako acha uasherati
  13. Qulfayaqul

    Tuliosoma Kigoma Sekondari Tukutane hapa..

    Enzi hizo Headmaster akiitwa Mr. Mipao, second master akiitwa Mr. Itika
  14. Qulfayaqul

    Tuliosoma Kigoma Sekondari Tukutane hapa..

    Ningechangia ila naona post nyingi ni za miaka ya karibuni saana maana mimi ilikuwa 1991-1994
  15. Qulfayaqul

    Marufuku kuajiri Mhasibu asiyesajiliwa - NBAA yaomba majina ya wote walioajiriwa kinyume cha sheria

    Hii professional kusoma mizengwe mshahara hakuna tunazidiwa na watu wanasoma vitu laini kama sociology au community courses. Kaeni na CPA yenu, after all with technology intervention kila kitu kinaenda kuwa programmed na mhasibu anaelekea kuwa karani Zaidi kwa kufanya filling na administrative...
Back
Top Bottom