Uliyemtuma yupo korokoroni. Nenda ukamwekee dhamana! Au ulitakaa aachwe hadharani ili auawe na wewe ufurahie kufa kwake ili ukusanye rambirambi. Ulimpa ushauri mbaya sana mdogo wako kwa tamaa ya kupata rambirambi za mengi wenzako wa Kilosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Kinachoshangaza ni kwamba hawa WaIslam sijasikia hata siku moja kwamba wamechana au kukojolea Biblia.
2. Lakini ajabu ni kwamba, wanaochana au kukojolea Qur'an wengi wao ni Sisi Wakristu, ambao tunaambiwa ni vichaa. Hivi mnataka kusema kuwa WaIslam ndio watu wenye akili sana kuliko Sisi...
Unamaanisha nini kwa neno huwe! Siasa inahitaji akili, siyo kusoma. Kusoma hakuongezi akili, bali kuimarisha akili kwa waliozaliwa na akili ili zifanye kazi sahihi.
Nawashauri vijana wengine msome kwa bidii ili mkirejea kwenye jamii muitumikie kwa ufanisi zaidi na kuendeleza taifa. Waacheni waerevu waendeleze ufukunyuku badala ya kujielimisha. Piga kitabu wanangu, acheni ususuavu wa siasa za milimani kutafuta upagazi.
Nchi hii itaangamia kama kuna vyuo, wanafunzi wake wanashughulishwa na siasa badala ya taaluma. Kwa hiyo baada ya kuchaguliwa watakuwa wanafanya nini? Kujenga chama au kujisomea?
Mbona ni ni ufisadi tu kama ufisadi mwingine hapa Tanzania. Hakuna atakayeshangaa, hasa katika kipindi ambapo vyombo vya habari vimefungwa midomo na kuzibwa macho.
Baba, Katika familia akiwa na hofu ya utajiri na kupenda umaskini kama sifa, usitarajie kwenda mbele kimaendeleo. Kupenda mateso hakuna uhusiano na maendeleo hata kidogo.
Nadhani anachozumgumzia mtoa Post, ni projection za hali ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania kulingana na trend ya economic performance kwa miaka ya 2014/2015-2015/2016
Kwa waliowahi kufika Dodoma na katika mji wa UDOM, uliopo Iyumbu New City satellite, watakubaliana na mimi kwamba jengo ambalo linaonekana kwenye picha ni jengo Chuo Kikuu cha Utu, Sheria na Lugha cha Chuo Kikuu cha DODOMA (UDOM). Hapo kwenye picha wanafanya ukarabati wa ndani na kuweka senyenge...
Mimi nadhani Magu anafanya vizuri katika hili. Zaidi, anatakiwa kukaa na mashirika yote yenye miradi ya kitaifa. Apige mahesabu ya kila miradi, huku akishirikisha wataalamu wachache ambao hawana sifa ya kupiga dili. Baada ya hapo atangaze tender ili baadaye apatikane mzabuni anayeendana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.