Taarifa za Matumizi ya fedha UDOMASA

Mbona ni ni ufisadi tu kama ufisadi mwingine hapa Tanzania. Hakuna atakayeshangaa, hasa katika kipindi ambapo vyombo vya habari vimefungwa midomo na kuzibwa macho.
 
Watu wanaanza kupiga dili toka wako sekondari, kiranja wa chakula, kiranja wa uzalishaji nk mpk wafike chuo kikuu tayari wana masters za wizi mioyoni mwao
 
Watu wanaanza kupiga dili toka wako sekondari, kiranja wa chakula, kiranja wa uzalishaji nk mpk wafike chuo kikuu tayari wana masters za wizi mioyoni mwao
Mbona wao ndiyo wanadai wamesimamia haki hapo, je wakipata ofisi kuu za umma hali itakuaje. Hili nalo jipu uchungu
 
Wewe Sikajiji na wenzio wa UDOM mnashangaza sana. Hapa namtafuta ushauri ama mnashitaki. Inaelekea mmwshalewa mshahara wa Harmonised Scheme ambao viongozi wenu walishiriki kwa Karibu sana kupigania. Mngejua walivyojitoa muda na gharama zaidi ya hizo mnazotaka kuamunisha watu wameiba. Kwakweli mnakatisha tamaa sana na kuleta kichefuchefu humu JF.
 
Huu mwingine ni upuuzi na uKAJUJUwa hali ya juu,hayo mambo yenu na chama chenu yanatuhusu nini humu??mmeshindwa kumalizana wenyewe huko unaleta ripoti huku then sisi tukusaidie nini??Halafu unaweka tu ripoti eti ukweli umeonekana,ukwei upi na kwa nani??kuna mtu amekulalamikia akisema kuna uongo??Wasomi makanjanja wa aina yako ndo wanachangia kurudisha maendeleo ya nchi yetu nyuma maana mnatupotezea muda kusoma visivyotuhusu mkijifanya nyie watakatifu. Badala ya kuwaza unaimarishaje hicho chama chako kwa ushiriki wako wewe unakimbilia kuweka mambo ya auditing mtandaoni,Hivi wewe umeshawahi kuwa kiongozi katika hicho chama??au ndo wale wale mnaweka mikia yenu matakoni kama mbwa kwa uoga wenu wa kufukuzwa kazi mkisubiria wengine wapigike kuwatetea hata kwa mambo ya kawaida tu. Mkiona manufaa mnasahau kama yametokana na jasho lao na mnachelekea kama mazuzu tu. Wasomi wa Kitanzania bado wana safari ndefu sana ya kujitambua
 
Back
Top Bottom