Recent content by Quemu

  1. Quemu

    Msama Promotions wanahitaji kuomba radhi kwa uratibu mbovu wa Tamasha la Pasaka jana

    Hivi mmeona wapi steji ya kuperform ambayo haina taa? Hivi inawezekana vipi flash ya wasanii inagoma kusomeka? Hayo yametokea jana kwenye kwenye Tamasha la Pasaka lililoandaliwa na Msama Promotions pale Uwanja wa Taifa. Katika harakati zangu za kuendelea kutafuta mlango wa kurudi kundini...
  2. Quemu

    Fastjet need to be sued for punitive damage

    I don't care what they are going through within their operations at the moment I don't care whether they are striving to cut down cost by downsizing their aircraft They are taking us for a ride. This is unacceptable. I have been stuck in Kampala since Tuesday (Oct 4th). I came here for a...
  3. Quemu

    TRA valuation system ya magari haiko fair

    Ahsante DN kwa ufafanuzi. Lakini sasa kwanini TRA wameniadhibu, kwa kitu ambacho sikuwa na control nacho? Mimi nimeliona gari na nikalipenda. Nikauliza bei nikapewa na nikaikubali. Sasa kwanini TRA wamehamua kuniadhibu zaidi kwa kunipiga ushuru ambao hauna uhalisia kwa bei niliyolipa? Ni kwamba...
  4. Quemu

    TRA valuation system ya magari haiko fair

    Sawa Barbosa nimekuelewa. Ok nimeibiwa. Sasa kwanini Serikali inaniadhibu zaidi? Kwani kwa TRA kuongeza thamani ya gari ni kunaashiria kuwa gari ni chakavu au lina thamani kubwa? Nimeuziwa gari kwa $4,455 na TRA wamelithaminisha $10,880. Kitu kinachothaminishwa zaidi ya bei/uhalisia...
  5. Quemu

    TRA valuation system ya magari haiko fair

    Yes. Hata mimi nimeshuri hivyo. Kwamba siku hizi ni muhimu kukokotoa kodi jinsi itakavyokuwa kabla hujaagiza gari. TRA Calculator inapatikana online.
  6. Quemu

    TRA valuation system ya magari haiko fair

    Barbabosa, Kama kudanganya basi aliyedanganya ni yule aliyeniuzia. Mimi nimenunua gari online, na hiz ndizo details nilizopatiwa. Na hiyo valuation na kodi husika ilikokotolewa ka kutumia TRA Valaution Calculator. Ninavyozungumza hivi hata Shipping docs za hiyo gari zijazishika mkononi...
  7. Quemu

    TRA valuation system ya magari haiko fair

    Ni kweli kabisa. Lakini mwisho wake ni nini? Kwamba kusiwe na importation ya magari au kwamba wote tuanze kutumia public means?
  8. Quemu

    TRA valuation system ya magari haiko fair

    Duh sasa kuna uhusiano gani kati ya mada hii na upande niliokuwa wakati wa uchaguzi?
  9. Quemu

    TRA valuation system ya magari haiko fair

    Kwanza niaze kwa kusema kuwa sina nia ya KULETA UCHOCHEZI! Maana siku hizi kila jambo linalosemwa au kuandikwa ambalo linalenga kutofautiana au kukosoa mfumo mpya wa uongozi wa nchi yetu basi linatafsiriwa kama uchochezi. Siku hizi hatuna budi kufunga midomo yetu na kumuacha Rais wetu afanye...
  10. Quemu

    Miscommunication Jokes

    Boring Economics teacher
  11. Quemu

    Miscommunication Jokes

    The Nun's Ass A pastor entered his donkey in a race and it won. The pastor was so pleased with the donkey that he entered it in the race again, and it won again. The local paper read:....... PASTOR'S ASS OUT FRONT The Bishop was so upset with this kind of publicity that he ordered the Pastor...
  12. Quemu

    Miscommunication Jokes

    Communication from top to bottom hierarchy goes as follows:
  13. Quemu

    Love doesn't exist!

    Kupenda au kuvutiwa? Unawezaje kumpenda binti wakati hata bado hujamfuata/hujaongea nae? Absolutely negative!! Ukimwona mdada anaye-fit "taste" yako unavutiwa naye (na sio kumpenda). Ukiwa mjasiri wa kuongea naye (na akakubali ombi lako), then mnajenga urafiki wa kimapenzi, na eventually...
  14. Quemu

    Love doesn't exist!

    Fazaa, Calm down...naona unaandika kwa jazba... Ni wapi nimefananisha God na mwanadam? Au God na love? Nimeandika hivi "No one is strong enough to walk on the love path. We were not granted that type of strengh. He (God) kept it to himself...." Ulielewa vizuri nilichoandika? Is this love...
  15. Quemu

    Love doesn't exist!

    Do you think there is gonna be a moment that feeling will be altered (even by a slice)? If the answer is yes (which is the only available answer to this question), then what you are experiencing is not love. you are just thrilled with her ways
Back
Top Bottom