Recent content by queeny

  1. queeny

    JamiiForums Tanzania Rose Muhando atumia madawa ya kulevya

    Huyu Msama huwa nina wasiwasi naye sijui kwa nini
  2. queeny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu katolewa kizazi

    Ndugu miujiza ipo hata leo tena yaweza kutokea mikubwa kuliko ya Yesu lakini si kama unavyotaka wewe. ni kwa mapenzi yake Mungu na si matakwa ya mwanadamu
  3. queeny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu anipe nini, ni furaha iliyoje kumpata mke mwema wa ujana wangu

    Don't tempt satan to tempt you...
  4. queeny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu anipe nini, ni furaha iliyoje kumpata mke mwema wa ujana wangu

    like like like....wewe jamaa umemaliza kila kitu.
  5. queeny

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo zipi zinakukumbusha machungu ya mapenzi na hata kuzichukia kabisa?

    haswaaaa... Leo lazima nikausikilize
  6. queeny

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo zipi zinakukumbusha machungu ya mapenzi na hata kuzichukia kabisa?

    ....cause I love u, but I can't take anymore..... .....there is a look I can't describe in your eyes... huu wimbo acha kabisa
  7. queeny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mums and dads come this way

    futile chode
  8. queeny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mums and dads come this way

    Wewe una nini nami?
  9. queeny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mums and dads come this way

    Wapi nimekuomba uje kumchukua mwanao.???? Alafu kwani nimezaa na wewe mpaka nikuombe uje kumchukua mwanao???? Mwanao yupi labda???? Unanijua?? Mbona unajishuku sana?? Inaelekea umetelekeza mtoto wako somewhere now u are dying with guilty. naomba usinichefue wewe baba.....
  10. queeny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mums and dads come this way

    nimewahi kukupanulia?
  11. queeny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mums and dads come this way

    Ukweli unauma lakini ndo dawa
  12. queeny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mums and dads come this way

    wanaume msiwe sperm donors, muwajibike ipasavyo muwe wababa kwa watoto wenu. huu usingle utapungua sana
  13. queeny

    JamiiForums Tanzania Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    it could have been ma young sister. shame on u lundenga and your useless n good for nothing miss Tanzania committee
  14. queeny

    JamiiForums Tanzania Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    wameacha kuchagua warembo waliokuwa na vigezo vya uhakika, wamemchagua Huyu bibi. stupid
  15. queeny

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2014 live Star TV

    Picha zake zilikuwa kila kona na mambo mengine naomba niyaache
Back
Top Bottom