Recent content by Queen Rover

  1. Queen Rover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe huu mchezo madem wanapenda wenyewe ee?

    be first to reply...
  2. Queen Rover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zijue faida 5 za kulala uchi (naked)

    [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  3. Queen Rover

    JamiiForums Tanzania Is there any night jobs available?

    Hahaaaaha Jf, kwakwel hatushindwiii
  4. Queen Rover

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari

    Hahahha watu mnajua magari doh
  5. Queen Rover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naolewa wiki ijayo, nahitaji ushauri kwa wazoefu na ndoa

    Hahahhahha
  6. Queen Rover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Washikaji jalini wake zenu

    Hahahahaha sasa Pete si aivue?
  7. Queen Rover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Longing for love connection to marry

    Inabidi akamchongeshe, maana sio kwa hadi kupima sidiria na maziwa....
  8. Queen Rover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumlinda mumeo

    Naona mnafundishana jinsi ya kuilinda bahari. Sasa sijui utashinda coco beach wenzio washazunguka upande wa pili
  9. Queen Rover

    JamiiForums Tanzania Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

    Hii nyimbo ni noma, kila napopita inapigwa mno, tangu Jana..nasikiliza sijaichoka..aisee huyu jamaa acha kabisa.... Ila Raymond bana.... "Ueeehhh mwenzako nyang'anyang'aa.. Uh mieee binzari we ndo nyanyaa, ngwangwaa isimamie kama kangaroo, uibane kama gwaruu... Huku nyuma babu nipige...
  10. Queen Rover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanamke anakuacha halafu anaendelea kukuomba pesa?

    Acha kelele Fanya muhamala huo... Akikuomba we thibitisha tu,atarudi mwenyeweee...
  11. Queen Rover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anayejali na kupenda

    Duh swala la hela ishakuwa jipu, wanawake so in love na mihamala, sms za kuthibitishwa ndo sms zenye neno zuri la penzi, we jimalize apo sijui umemfia unamuota unamnini...anakuja bwege mmoja na sms yake ya muhamala anambeba
  12. Queen Rover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa siku hizi shikamoo, mnapenda sana pesa

    Akupendae kwel akupigi kizinga
  13. Queen Rover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu kanikubalia tuwe wapenzi na kuniomba Elfu Ishirini Papo Hapo, Je Hii ni Haki kweli?

    Yaan mimi mwanaume tukutane dk chache tena unione mgahawani hlf uanze kunieleza hisia za kunifia sijui mavimavi gani, unanijua?!. Ndo maana akakuomba hela either kukupima au kukufukuza. Mwanaume wa kweli haogopi kumuhudumia mwanamke anaedai kampenda. Cheki sasa kihela kidogo kama hicho...
  14. Queen Rover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kumiliki msichana mzuri unatakiwa uweje?

    Jamani wapendwa wa jf, mnaomuomba hendsamu picha, kashawaambia muangalie profile "mtaona tukichwa tudogo" hlf mtajiridhisha wenyewe kama ndio au hapana....
  15. Queen Rover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini kupunguza kasi ya kutongozwa na wanawake?

    Biashara matangazo, yupo kwenye matangazo muacheni
Back
Top Bottom