Mwanamke anayejali na kupenda

Mwanamke anayejali na kupenda

Naona threads nyingi zikizungumzia tabia za wadada wa siku hizi. Unapataje hata muda wa kujadili haya? Because i dont even bother no more. Nikizinyaka nakamata napiga miezi miwili mitatu zikipotea anaondoka napata muda wa kumingle around na kuwa busy na maswala ya msingi. Nikizipata natafuta mwingine. And so forth and so forth
Kuna muda utatamani u settle
 
Duh swala la hela ishakuwa jipu, wanawake so in love na mihamala, sms za kuthibitishwa ndo sms zenye neno zuri la penzi, we jimalize apo sijui umemfia unamuota unamnini...anakuja bwege mmoja na sms yake ya muhamala anambeba
 
Duh swala la hela ishakuwa jipu, wanawake so in love na mihamala, sms za kuthibitishwa ndo sms zenye neno zuri la penzi, we jimalize apo sijui umemfia unamuota unamnini...anakuja bwege mmoja na sms yake ya muhamala anambeba
sms za kuthibitishwa tamu jamani asikuambie mtu
 
Wako wapi?au napishana nao nini?Niko nao mtaa tofauti?yaani wanawake ninao date nao mimi siku akikuchangamkia either atahitaji hela very soon au umetoka kumgea hela

Aisee Mungu anawaona wanawake mnaroho ngumu sana,wanasema kumuelewa msichana ni ngumu ila kuwa tu na hela utamsoma,mapenzi siku hizi yanamahusiano ambayo ni transaction hupati penzi hadi utoe hamasa huu ni mtazamo wangu 90% japo sio wote ,

kuna haja ya kufanya utafiti wa kina relationship kati na mapenzi na fedha au utajiri na hii sometimes ipo hata kwa wanaume lakini % chache sana
Ukimpata mwanamke anayekupenda kwa hali yoyote na kukujali usimuache!!

Kama mm sitoi penzi hadi nionyeshwe napendwa
 
Dah... Mapenzi na pesa vinahusiana sana...asikudanganye mtu chief...hakuna mwanamke atakayemtaka mwanaume ambaye hawajui wataamkaje asubuhi... Na kama ikitokea basi ujue mwanamke anapesa na anamtumia huyo mwanaume kwa maslahi yake binafsi kwa kisingizio cha mpenzi...kwa kifupi pesa/Mali kwa upande wa mwanaume ni muhimu katika mahusiano. ..huo ndiyo ukweli mchungu
3Fs ZINAHUSIKA HAPA..
FEED HER
FINANCE HER and
FvCK HER

OUT OF THAT CHEATING IS INEVITABLE!!
 
Back
Top Bottom