Recent content by Queen matty

  1. Queen matty

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Wadau, naona tangu group ya whatsApp ianzishwe Watu mmepunguza kucomment kwenye huu Uzi humu jamii forum. Jamii forum ndiyo mahali pazuri ambapo viongozi na mamlaka husika wanaweza kuona na kushughulikia maoni yetu kuliko kwenye group la Whatsapp. Naomba turudi huku kwenye huu Uzi...naona...
  2. Queen matty

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Mwenye link ya group la Whatsapp atume hapa pliz
  3. Queen matty

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Tabu ya mwanza mmejaa chadema wengi mno[emoji1][emoji1] ndiyo maana hawajisumbui. JUST KIDDING. [emoji125][emoji125][emoji125]
  4. Queen matty

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Serikali hata isijisumbue kuweka pesa nyingi kwenye ujenzi wa airport za mikoa ambayo haipokei wasafiri wengi Kwa mwaka na badala yake airport za mikoa mikubwa kwanza....mwanza airport inaitaji modernization ya Hali ya juu sana. Ipanuliwe, jengo la abilia, runway ziongezwe hata control tower...
  5. Queen matty

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Barabara ya kutoka kiloleli kwenda maduka Tisa ina taa ila huwa haziwaki, ukipita Giza kama kawaida. Huwa nashangaa kweli.
  6. Queen matty

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Guys....nilisikia Kuna upandaji wa miti elfu 9 around the city umeshaanza au yalikuwa maneno tu.?!
  7. Queen matty

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Oh ok...Kwa sababu ya Yale mavyungu kule juu. [emoji1]
  8. Queen matty

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Account yake ya FB ni ipi nianze kumfollow.
  9. Queen matty

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Ilemela DC yuko vizuri sana, ila NYAMAGANA ni bure kabisa.!
  10. Queen matty

    Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

    Yaani mtu anakutuma kwenda kumuua mtu asiye na hatia na ww unaenda!!!!! Hata kama mtu ni boss wako ndio akupe tu maagizo ya kipumbavu na ww unatii hata bila kufikiria mara mbili?!!! Vilaza
  11. Queen matty

    Serikali kwanini mnalishusha hadhi sana jiji la Mwanza?

    Mtoa mada umeongea jambo la muhimu sana...na watu wenye wivu naona wakicoment upuuzi. Mji wa mwanza ni mji mzuri sana kwa kila nyanja:, ongezeko la watu, hali nzuri ya hewa,kasi ya ukuaji, uzuri wa ziwa Victoria na faida zake, ukaribu na nchi za Afrika mashariki, unafuu wa gharama za maisha...
  12. Queen matty

    Benki zimeongeza tozo tena. Hii nchi inapoelekea ni kugumu sana, wanyonge tunazidi kunyongwa

    Mmh sasa itabidi ile tabia ya kutunza hela kwenye Kibubu irudi.
  13. Queen matty

    How does real estate business work?

    Tafuta kwenye Google. Kuna material mengi sana kuhusu RE.
Back
Top Bottom