Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,205
- 5,332
- Thread starter
- #101
Siku zote maCCM wanadhani wana Mwanza wamelala hawaoni kama kuna matatizo ya miundombinu ikiwemo ufinyu wa barabara kuu zote na utoshelevu wake kumudu uhitaji ukilinganisha na hadhi ya jiji lao, na badala yake wanahisi watawageuza vibonde kwa kupata faida za kisiasa kupitia juhudi za wanamwanza wenyewe katika kulijenga jiji lao pasipo mchango wa serikali yao.hajidanganyi wala nn we kamuuliza uyo SSH wako alipokuja kwanza alikutana na nini? kashuka airport pale alichokutana nacho mungu mdio anajua...yaan hata nigeshuka mimi nadhani watu wangenijalilia....SSH kashuka pale kaonekana kama abiria wa kawaida yaan hata watu 20 wa kumlaki kakosa .....tumeshaanza kumchukia watu wa mwamza