Recent content by Queen Kan

  1. Queen Kan

    JamiiForums Tanzania Being broke is hell — nobody cares about you

    Words
  2. Queen Kan

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kuomba kazi au mishe yoyote JF

    Inategemea na mtandao ila hapo changamoto ni hayo malipo ya kazi maana lipa namba ni bure Walevi wenyewe kwa wenyewe wanapendana sana
  3. Queen Kan

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kuomba kazi au mishe yoyote JF

    Kwenye huu uzi nimejifunza mambo mawili Unyenyekevu wa mtoa mada( utafika mbali sana) Upendo wa walevi(aisee walevi wanapendana mnoo🤣)
  4. Queen Kan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini umpe mpenzi wako au mke wako hela mbele za watu??

    Umenikumbusha mbali sana, kipindi Cha nyuma sana nilikua na boyfriend wa hivyo, yaani kama unasafiri imagine pale ubungo terminal(zamani) nje ya bus ndiyo anafungua wallet anakupa hela watu wote wanaangalia. Nilikua naona aibu sana......anyways gone are those days
  5. Queen Kan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mke wangu

    Mkuu miaka 5 unakata tamaa!! Kuna watu sana miaka 10plus na wanapambana......Muombe Mungu
  6. Queen Kan

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho ulilia lini? sababu gani ilipelekea ukalia?

    Hakika mkuu
  7. Queen Kan

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho ulilia lini? sababu gani ilipelekea ukalia?

    Yani natetemeka mpaka mwili, hasira zinajaa kifuani.....tutafute hela aisee
  8. Queen Kan

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho ulilia lini? sababu gani ilipelekea ukalia?

    Nikiwa Sina hela jamani........hadi kwikwi
  9. Queen Kan

    JamiiForums Tanzania Same: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka

    ......Mungu tujalie mwisho mwema
  10. Queen Kan

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

    💛💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛
  11. Queen Kan

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

    Kila la heri my team......Yanga daima
  12. Queen Kan

    JamiiForums Tanzania Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

    Shukrani sana mkuu
  13. Queen Kan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Shukrani Mkuu
  14. Queen Kan

    JamiiForums Tanzania Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

    Mkuu [/USER] Mkuu naomba link
Back
Top Bottom