Nimeona sehem kama capetown fishmarket ya Tanzania, Video iko vizuri, tuwasapoti wasanii wetu wa tz, wakifanikiwa hata sis biashara zetu zitafanikiwa direct or indirectly. Big up.
Ni kweli mkuu, kiongozi anaweza kukutoa ktk mamlaka kwa sababu yeyote ile ikiwemo kui please jamii na Contemporary issues zinzoashiria jambo flani, lakin sio jambo la kutolea macho, sijui rasilimali za nchi, sijui wizi, sijui vitu gani. Hii ni nchi ina mambo mengi sana, unaweza kusikia ufisadi...
Ww jamaa unashangaza sana, who should grow up? You condenmed the fired minister on non perfomance ground, i corrected you on how perfomance is determined and assesed, you changed the topic to reason behind his expell, i corrected you again on the legimacy of the same, you still keep on...
Hii ni nchi masikin ndo maana kuna kaz zingine ni kama kufumba macho tu. Mm ningekuwa rais wa nchi hii, infact kitu nachojua hakiwezekani, wakulima wenye uwezo wa kuzalisha kuanzia kiasi fulani cha chakula ningewaingiza kwenye payroll, angalau nifidie kiasi kidogo cha control nayowazuia wasiuze...
Basing on public statement issued he was fired on Ndovu ground, any postulations out of these ground are regarded as baseless shit. The prezidaa fired him, and you are nt the prezidnt, convice us as to why we should trust ths street bullshit!
Kitendo cha kuandika hayo uliyoandika either ukiwa unamaanisha au unatania ni kudemonstrate upumbavu wa hali ya juu. Mtu na nguvu zako unafikiria kujiua sababu eti huna mpenzi, au rafiki, au eti huna kazi. Unaijua unemployment rate ya Tanzania? manake wale wote wajiue au?
Sio kweli mkuu, competence haipimwi kwa kuangalia media inasema nin kuhusu wewe. Competence inapimwa kwa kuangalia achievement of targets basing on perfomance indicators, tena zaid kwa kuwianisha na resources ulizopewa.
Yaliyomkuta yamemkuta, yanaweza kumkuta mtu yeyote, hebu tuache kuwachukia...
Kama huyu jamaa ni ndugu yako, ukitaka apate unafuu, na hata kesi ikajadiliwe bungeni, wewe jenga mazingira kwamba UKAWA wanasapoti sana hiyo adhabu sababu ya manyanyaso ya polisi, fasta tu utasikia hukumu imeanza kujadiliwa, hahaaa..hahaa hii nchi sometimes raha sana.
Sifa kubwa ya binadamu ni kutumia nafasi yoyote aliyonayo kwa manufaa yake, rais ni mtu yuko mbali sana, sidhan mtu at individual level unaweza kuwa na mahitaji naye, labda kidogo at institutional level, lakin pia vyombo vipo kwa nin usiende huko? ukiruhusu kila mtu akaenda kutafuta suluhu...
Mkuu hapo sio ushamba tu, kama hiyo gar inatembea, (na inaonesha hivyo) huyo jamaa amerisk sana maisha yake, na hata anayempiga picha ameshindwa kumwambia. Labda iwe ni edit.
Aendelee kumwogopa hivyo hivyo, crdb ni benki kubwa sana inayoweza kuathir maisha ya watanzania direct or indrect, akijenga urafiki anaweza kufanya lobbying ambayo baadae inaweza kuleta shida. Nadhan ni sawa kila mtu ikulu aione kama kituo cha polisi.
Mm binafsi huwa sikubaliani na hii dhana ya self listing, hasa kwa hapa kwetu. Najua wamekopi kutoka Nairobi Stock exch na Joh'burg sababu tu nadhan wanaweza kuwa na matatizo ya fedha. Hiv DSE ndo wanasimamia kama makampuni yamefuata taratibu ili kuwalinda wananchi na upotevu wa mitaj, halafu...
Hahaa..hahaa nimeikubali hii list, lazima waje watu wapya, pengine labda watasaidia kubadili matatizo tuliyonayo, saluti kwako Magu naona ni full kata funua, piga chin watu 100 wa zamani, na zaid yule jamaa muongo wa kwa kina mura.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.