Walionunua hisa za DSE kurudishiwa fedha

Walionunua hisa za DSE kurudishiwa fedha

Mm binafsi huwa sikubaliani na hii dhana ya self listing, hasa kwa hapa kwetu. Najua wamekopi kutoka Nairobi Stock exch na Joh'burg sababu tu nadhan wanaweza kuwa na matatizo ya fedha. Hiv DSE ndo wanasimamia kama makampuni yamefuata taratibu ili kuwalinda wananchi na upotevu wa mitaj, halafu wao wenyew wamelist, tuta assess vip effeciency yao tujue kuwa wanachotuambia ni sahihi?
Nachojua kampun zinazoshirik moja kwa moja, au tuseme zenye impact kubwa kwenye uchumi wa nchi zinapolist inakuwa ni kama kioo cha uelekeo wa uchum wa nchi, share price zinaposhuka sana zinaashiria kitu flan, sasa hawa jamaa na njaa zao, sijui hawajapewa hela serikalin huko wameamua nao kulist ili wapate hela, najua inafanyika lakin sijui kama ni sawa sana, iko open to discussion sana.
 
Ind
Hisa za kampuni gani? DSE inafloat hisa za makampuni mengi,sasa ukisema tu wanarudisha pesa taarifa inakuwa haijakamilika... kurudisha pesa hutokea na ni kawaida pale inapotokea over subscription ya hisa katika kampuni flani,kama ilivyowahi kutokea NMB walivyoweka sokoni hisa kadhaa miaka ya nyuma.
Indexing fund
 
Hili ni jambo la kawaida, kibiashara inaitwa over subscription, yaani kama ulitaka milioni 100, kwa kuzigawa katika hiza 100 za shilingi za elfu moja moja, wakajitokeza watu 500, wewe utachukua hisa za watu 100 tuu, on the basis of first come first saved na wale 400, watarudishiwa fedha zao!.

Ununuzi wa hisa unafanywa kwa mnada, ila mnada huu sio wa highest bidder, bali ni wa fixed number of shares, minadana ya wazi ukishindwa unarudi na fedha zako kusubiria mnada mwingine!.

Pasco

kuna 'green shoe' option, na walisema they'll go for it. kinyume na hapo kuna figisu tu
 
Back
Top Bottom