Recent content by Quarteman

  1. Q

    Hivi uzuri ama ubaya Jezi unatokana na nini??

    Club ya Simba imezindua jersey yake, wadau mbalimbali baada ya kuiona wametoa maoni yao! Wapo walioisifia na wapo walioipenda…!! Kitu ambacho pia kilitokea wakati Yanga wanazindua jersey zao za msimu mpya! Club nyingine zimezindua lakini maoni ya wadau kuhusu jersey zao hayajasikika sana labda...
  2. Q

    Movie ya EONII hakuna kitu

    Hiyo IST ni ya umemo wa mavi ya mbuzi!
  3. Q

    Ajali za barabarani na msimu wa mavuno kwa wakulima!

    Ukweli usiopingika! Kweli kuna miezi ajali zinafululizana balaa, hadi unajiuliza kunani...!
  4. Q

    Tunachezewa sana, Serikali irudishe tozo zetu

    Mama anaupiga mwingi! Hakirudi kitu hapa!!
  5. Q

    Je ni sahihi kumshirikisha mke ambaye hamjafunga ndoa kipato na mali ulizonazo..!?

    Kumbe..? Hiyo sheria inayosema hivyo japo ungesaidia kuileta mkuu, ingesaidia tukajifunza tuliyokuwa hatujui! Tafadhali kama unaweza kukileta hicho kipengele ingekuwa vizuri sana!
  6. Q

    Je ni sahihi kumshirikisha mke ambaye hamjafunga ndoa kipato na mali ulizonazo..!?

    Suala la kuview ni lingine na kucomment ni lingine! Wewe kwani nyuzi ngapi unaziview bila kucomment chochote? Lakini hata hicho ulichoandika ni comment pia! Wenye maona ya kipi sahihi watakuja! Kuna watu wengine huwa wanaview nyuzi anasubscribe anarudi baada ya muda kucomment!
  7. Q

    Je ni sahihi kumshirikisha mke ambaye hamjafunga ndoa kipato na mali ulizonazo..!?

    So kila unachoingiza na kutumia unaweka wazi..? Ama kuna maeneo unayahide kwanza pengine kwa sababu unazizijua wewe..?!
  8. Q

    Utata waibuka kifo cha mtoto wa miaka 11 aliyejinyonga.

    Huenda alinyongwa uchunguzi ni muhimu sana!
  9. Q

    Je ni sahihi kumshirikisha mke ambaye hamjafunga ndoa kipato na mali ulizonazo..!?

    Nimeileta hii mada kama swali, kutokana na changamoto ambazo huwa zinajitokeza katika mahusiano! Unakuta mwanaume ameishi na mwanamke kwa kipindi cha mwaka mmoja au miwili bila ndoa, inafikia kipindi mwanamke anaanza kumuuliza mwanaume kuhusu namna anavyoutumia mshahara wake ama mshahara ni...
  10. Q

    Kesi ya Wabunge 19 waliotimuliwa CHADEMA yaendelea Mahakamani

    Mbona hamna update za mahojiano kama ile kesi ya mchongo ya akina Kingai. Waliopo kwenye viunga vya mahakama walete update tusikie wanavyojikanyaga na kutetemeka!
  11. Q

    Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

    Wanayanga tuungane tumlipie Manara hii faini aliyotozwa na TFF! Manara amekuwa mtu mwenye mapenzi mema na timu yetu ametutetea sana, na hata hiki kifungo alichopata ni kwa sababu ya mapenzi yake mema na Club yetu! Hivyo tupitishe bakuli ndani ya siku chache million 20 tunapata, inalipwa! Wengine...
  12. Q

    Tahadhari, manunuzi ya bidhaa kwenye mitandao! Kuwa makini yasije yakakukuta makubwa

    Tatizo mkuu si wote wanajua namna ya kifahamu trusted sellers app! Hizi app au sites zinazojulikana na wachache kwamba si trusted zinapata wateja pia! Wapo wauzaji wanaotangaza bidhaa zao kote kote wanajua kwenye app flan ni trusted wanakuwa waaminifu huko, na upande mwingine wanajua kuna...
  13. Q

    Tahadhari, manunuzi ya bidhaa kwenye mitandao! Kuwa makini yasije yakakukuta makubwa

    Soma vizuri, siyo instagram boss! Kuna hii mitandao,zoom, jumia, kariakoo mall, kupatana n.k! Ni mtandao ambao una app kabisa kati ya hiyo niliyoitaja! Na ujue kwenye hii mitandao kuna bidhaa used, so aliona used akaona inamfaa akatoa oda akaletewa mzigo, akakagua akalipa baada ya kuridhika...
Back
Top Bottom