Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,359
Watu tulisema hapa tukashambuliwa sana na Andrew Tate mpaka tukajiuliza tumemkosea nini huyu jamaa
Mimi nilishaanza kuona ushuzi kwenye trailer,nilijua tu muvi itakuwa hovyo. Hizo milioni 473 wangeenda tu kusaidia masikini![]()
Hapa ndio swali langu lipo, wamerudisha pesa yao au imekuwaje...nataka kujua ROI
Mauzo hayawekwi Public au? Kwa anaefahamu tafadhali?


