Recent content by Quantum Juma

  1. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mabilionea Kenya

    Hongereni wakenya....this shows how commited you are katika kutafuta pesa.....Watanzania tujifunze tuache majungu na chuki
  2. Q

    JamiiForums Tanzania RICH DAD, POOR DAD by Robert T. Kiyosaki

    Kudos mkuu
  3. Q

    JamiiForums Tanzania MSAADA KUHUSU ELIMU YA DIPLOMA NNJE YA NNCHI

    alisoma diploma ya medical lab
  4. Q

    JamiiForums Tanzania MSAADA KUHUSU ELIMU YA DIPLOMA NNJE YA NNCHI

    Habari za asubuhi ndugu zangu naamin mnaendelea salama...kuna tatizo moja linamkabiri mdogo wangu ambaye kwa sasa anasoma nnje ya nchi....alimaliza form six 2015 na matokeo hayakua mazuri sana so akatumia cheeti cha form 4 kuapply chuo akapata chuo na alipofika katika hicho chuo alisoma kwa...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Kwenye kila shule kuna yule Mwalimu mnoko shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani?

    mwalimu nyamahanga a.k.a special.......njombe high school
  6. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kigezo cha kuoa mwanamke ambacho watu wengi hawakitilii maanani lakini ni muhimu sana

    mkuu umeeleweka sana...Nakumbuka nilikua na mahusiano na binti mmoja bila kuwaambia wazazi wangu pia sikua naijua vizuri hiyo familia lakini mama yamgu kwa hekima zake akagundua aliniita siku moja akanielimisha swala la ndugu wa upande wa pili coz alikua anawafahamu vizuri ...niliachana na yule...
  7. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Urusi kujenga mji mwezini ifikapo 2040

    mh ..."uchumi wao uko nyuma sikuzote" ? Na tunaotambua vipaumbele tuko mbele sikuzote???
  8. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wawili wanataka niwaoe. Kulingana na sifa hizi nimchague yupi?

    unasikia ....wew sio muhusika wa huyo MTU hata kidogo na hamjaingia mkataba wowote mim niliwah pata the same situation ya dem kunywa sumu ..but nilipofanya uchunguzi kusoma makala mbalimbali nikaona kuwa hilo sio kosa langu coz mim ni MTU mwenye maamuzi yangu na kila MTU ana haki ya kuheshimu...
  9. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wawili wanataka niwaoe. Kulingana na sifa hizi nimchague yupi?

    Yaani ..huyu jamaa ana miaka 27 lakin ni kama mtoto asiyejielewa tayar inaonesha unamtaka huyo wa pili coz unapewa ushauri still unatoa sababu za kijinga ...usioe kwa kuonea MTU huruma eti hospitali wiki mbili be strong.. your the one to decide for your future kwa kutumia akili na weledi sio...
Back
Top Bottom