Quantum Juma
Member
- Nov 22, 2018
- 9
- 5
Habari za asubuhi ndugu zangu naamin mnaendelea salama...kuna tatizo moja linamkabiri mdogo wangu ambaye kwa sasa anasoma nnje ya nchi....alimaliza form six 2015 na matokeo hayakua mazuri sana so akatumia cheeti cha form 4 kuapply chuo akapata chuo na alipofika katika hicho chuo alisoma kwa mtaala wa kuunganisha yaani after kumaliza diploma akaendeleza direct bila experience ya kazi na sasa anaendelea na degree bila kuwa na uzoefu wa kazi......Je hilo linaweza kuwa tatizo TCU kukubali vyeti vyake msaada please...au dogo amalize course zote asigraduate arudi apige kazi then arudi after two years kupewa gamba lake ? msaada tafadhali ili kama wazazi tusipoteze muda na pesa then ikaja kula kwetu....tafadhali jamani wenye uelewa