Recent content by Qualtrics

  1. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Leo hamna shamra shamra za anniversary kabisa...
  2. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Iran imejaribiwa, wakagundua ni mdebwedo. Leo tena yashambuliwa usiku

    Houthi wana uhusiano mzuri na Iran. Labda itakuwa wale wa-Iran wanaotumiwa na Israel kuendesha harakati zao dhidi ya jamhuri ya Kiislamu.
  3. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    Dah!...Rwanda imepitia mengi magumu.
  4. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wenzagu 19 waliuawa na Serikali ya Hayati Magufuli

    Wewe ni msemaji wa jeshi la uhamiaji ?
  5. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro Marathon: Bei ya hoteli haishikiki

    Mangi usitufanyie hivyo, sisi ni watz wenzako..😂😂😂 kama vipi tulaze kwenye corridor..
  6. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro Marathon: Bei ya hoteli haishikiki

    Hawa jamaa wanatesa watu sana, hovyo kabisa
  7. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania HAARP mfumo wa Marekani uliosababisha tetemeko la ardhi Uturuki na Syria

    Tuambie kuanza Haarp ni kitu gani ?....maelezo yako bado hayajajitosheleza.
  8. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Nchi za SADC tusipochukua hatua kuokoa Zambia, tunaipa China rasmi

    Kukopa ni harusi kulipa ni matanga.
  9. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Putin anyong'onyea, apunguza makali kwenye hotuba yake

    Hivi Vita vitaisha kweli bila mazungumzo ?....maana ushindi wa kijeshi kwa pande zote bado ni mlima mrefu mno sana sana vifo tu kwa pande zote na uharibifu wa Ukraine vitaongezeka.
  10. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili alishawahi kumdhihaki MUNGU kisa Mwanamke

    Jamaa kawakosea nini ?...mkaushieni bhana.
  11. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Kitwanga: Kuna kundi linalomshauri vibaya Rais Samia

    Wataje
  12. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Yanga atapita hatua ya makundi, Simba atashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake

    Toa sababu chief ..
  13. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Yanga atapita hatua ya makundi, Simba atashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake

    Amina.....na itakuwa hivyo.
  14. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Sifurahishwi na kiwango cha Aziz Ki kwa sasa

    Tumrudishe Feisal Salum...
  15. Qualtrics

    JamiiForums Tanzania Simba SC tujiandae kujenga timu ya baadae kwa sasa wachezaj wamechoka

    Ni vizuri tujifunze kusajili wachezaji watakaotupa huduma kwa muda mrefu.
Back
Top Bottom