tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,839
- 8,262
Kwa kweli sina utaalam wa hizi mambo. Ila naamini washiriki wana hela ya kutosha, accommodation haiwezi kuwa kikwazo kwao kama wameweza kusafiri kutoka mikoa ya mbali.Hivi ukisafiri hauchoki?
Kwa sababu , unatakiwa utunze nguvu kwa ajili ya kukimbia