Recent content by qtie

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kujinunulia pete ya engagement mwenyewe. Je, ni sawa?

    Asanteni kwa ushauri
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kujinunulia pete ya engagement mwenyewe. Je, ni sawa?

    Asanteni sana kwa ushauri
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kujinunulia pete ya engagement mwenyewe. Je, ni sawa?

    Asante kwa ushauri mzuri
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kujinunulia pete ya engagement mwenyewe. Je, ni sawa?

    Sijaelewa unamaanisha nini ila ni la msingi kwangu na nahitaji sana ushauri kama huna cha kushauri sio lazima.
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kujinunulia pete ya uchumba imekaaje?

    Habarini ndugu, mimi ni mwanamke ambaye hivi karibuni mwanaume wangu anataka akajitambulishe kwetu pamoja na kunivisha pete. Sasa tatizo ni kwamba ananiambia anipe hela nikanunue mwenyewe na mimi kiukweli napenda yeye ndo anunue. Naona kama halipi uzito hili swala na sio kama namforce. Naombeni...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kujinunulia pete ya engagement mwenyewe. Je, ni sawa?

    Habarini ndugu, Mimi ni mwanamke ambaye hivi karibuni mwanaume wangu anataka akajitambulishe kwetu pamoja na kunivisha pete sasa tatizo ni kwamba ananiambia anipe hela nikanunue mwenyewe na mimi kiukweli napenda yeye ndio anunue naona kama halipi uzito hili swala na sio kama namforce...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa mayai kwa kuku wanaokunywa dawa

    Hii imeandikwa muda wa kutotumia nyama lakin hamna wa mayai
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa mayai kwa kuku wanaokunywa dawa

    Nilisahau kuuliza, nikaenda duka la dawa lililopo karibu ila aliyekuwepo hakuwa mtaalam kwa hiyo hakua anajua pia, hadi nauliza hapa sijaona kikaratasi cha ndani wala maelezo yaliyopo kwenye dawa hayajielezi kuhusu mayai. Nimejaribu kugugo sijaona pia. Sijakurupuka tu. Kama huna ushauri kaa...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa mayai kwa kuku wanaokunywa dawa

    Okey thanx
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa mayai kwa kuku wanaokunywa dawa

    Habari Naomba kujua athari za dawa ya kuku kwenye mayai. Nimewapa kuku dawa ya typhoid inaitwa Fatrium bado wapo kwenye dozi, mayai yanaweza kuliwa au nisubiri siku kadhaa. Naomba anayefahamu anijuze
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliosoma seminari

    Wengi kwa nje unaweza kumkuta mpole na mwenye nidham lakini huwa na wanawake wengi sana. Nahisi kwa kuwa ni kama walivuka stage. Yaan leo yupo na huyu kesho na huyuu yaan kifupi ni vitombi[emoji125] [emoji125]
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Upishi wa keki

    Nilishapika
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Diapers nzuri kwa watoto ni zipi?

    Asanteni sana kwa ushauri
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Damu kuganda kwenye ubongo

    Tatizo la damu kuganda kwenye ubongo kwa mtoto husababishwana nini? Anayejua tafadhal naomba msaada kwani kuna mtoto amepoteza faham anapumua kwa mashine yaan kifupi hali yake ni mbaya. Madaktari wamesema damu imeganda kwenye ubongo. Hii husababishwa na nini?
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Diapers nzuri kwa watoto ni zipi?

    Hz hazisababishi uti?
Back
Top Bottom