Q qtie Member Feb 3, 2017 33 11 Feb 21, 2017 #1 Habari naomba kujua kama bakingsoda ni muhimu kwenye kupika keki au naweza kutoweka. Najifunza kupika keki.
Habari naomba kujua kama bakingsoda ni muhimu kwenye kupika keki au naweza kutoweka. Najifunza kupika keki.
Snipes JF-Expert Member Jul 2, 2013 9,109 16,680 Mar 6, 2017 #3 nenda jukwaa la mapishi mkuu available
ukhuty JF-Expert Member Oct 9, 2016 16,877 41,961 Apr 12, 2017 #4 Ushapika ile kek au bado hujapat maelekezo yake
Q qtie Member Feb 3, 2017 33 11 Apr 19, 2017 Thread starter #5 ukhuty said: Ushapika ile kek au bado hujapat maelekezo yake Click to expand... Nilishapika
Nyagei JF-Expert Member Jul 7, 2015 13,201 44,599 Apr 19, 2017 #6 Huku sio kwenyewe mkuu nenda jukwaa la mapishi
Foxhound JF-Expert Member Dec 15, 2013 28,726 76,122 Apr 20, 2017 #7 qtie said: Habari naomba kujua kama bakingsoda ni muhimu kwenye kupika keki au naweza kutoweka. Najifunza kupika keki. Click to expand... Umeshaandaa mahitaji yote nikufahamishe kazi yake?
qtie said: Habari naomba kujua kama bakingsoda ni muhimu kwenye kupika keki au naweza kutoweka. Najifunza kupika keki. Click to expand... Umeshaandaa mahitaji yote nikufahamishe kazi yake?