Diapers nzuri kwa watoto ni zipi?

Diapers nzuri kwa watoto ni zipi?

Nyie wamama nyie watoto wafungeni nepi, sio hayo mapampas sijui nini nini sijui. Wafungeni NEPI. Nitakuja na thread hapa nikipata muda kuwapa somo

Huku kwa wazungu hakuna hiyo na wana akili kuliko ngozi nyeupe wacha kutisha watu na mawazo ya ajabu ajabu ndio nyie mlishasemaga magari yananyonya damu tusipande
 
Predo zipo powaa sana ...zinatoka uturuki kama unataka ni pm kwa maelezo zaid
TAHADHARI: Epukaneni na watu wanaopenda kusema ni-pm hata kwa mambo yasiyohitaji pm (private massage). Mara nyingi ni matapeli wanaotaka kuliza watu.
 
Huku kwa wazungu hakuna hiyo na wana akili kuliko ngozi nyeupe wacha kutisha watu na mawazo ya ajabu ajabu ndio nyie mlishasemaga magari yananyonya damu tusipande
Hujalazimishwa mkuu, povu la nini
 
Sleepy ni nzuri kama una kipato cha kawaida..Pon-Pon achana nazo usiguse...
 
Mkuu leta hiyo thread mapema nifahamu madhara yake... Mtoto wangu Wa kwanza ana 3 yrs nilimlea kwa nusu nepi na nusu ponpon... Wapili sijawahi mfunga nepi plz uje utuambie madhara yake.
Diapers zisipotumiwa vizuri hasa sehemu zenye joto kama Dar zinasababisha UTI hasa kwa watoto wa kike. Cha kuzingatia 1. Limit muda wa kumfunga mtoto. (usimhenye mwanao na diapers muda wote) 2. Nunua zenye quality nzuri (kuna wachina wanatengenezea uchochoroni na hazina viwango) 3. Badilisha mara kwa mara na sio anashinda na diaper moja kutwa nzima mpaka inalowa chapa chapa.
 
Niiteni mshamba lakini kwa Tanzania hii mimi ni kwa mwendo wa nappy zile za taulo za kufua na kuanika. Jua hili la bure, maji na sabuni ya nini kuingia gharama? Hizo diaper labda nikiwa safarini tu.
 
Diapers zisipotumiwa vizuri hasa sehemu zenye joto kama Dar zinasababisha UTI hasa kwa watoto wa kike. Cha kuzingatia 1. Limit muda wa kumfunga mtoto. (usimhenye mwanao na diapers muda wote) 2. Nunua zenye quality nzuri (kuna wachina wanatengenezea uchochoroni na hazina viwango) 3. Badilisha mara kwa mara na sio anashinda na diaper moja kutwa nzima mpaka inalowa chapa chapa.
Asante mkuu
 
utakuwa tu hujui kuifunga vizuri maana hata ukifunga kanga tu haipitishi
Pamoja na kuangalia ubora wa diaper ni vema akazingatia mtoto anakaa nayo muda gani na size ya diaper...maana kutozingatia hivyo pamoja na ufungaji lazima mkojo upite mpaka kwenye soksi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pamoja na kuangalia ubora wa diaper ni vema akazingatia mtoto anakaa nayo muda gani na size ya diaper...maana kutozingatia hivyo pamoja na ufungaji lazima mkojo upite mpaka kwenye soksi.
kasema nepi ndo inapitisha mkojo mamy
 
Habari wana jf. Nina mtoto wa mwaka mmoja na ninaishi maeneo yenye baridi basi kila nikimvalisha nepy akikojoa unapenya hadi nguo ya juu na soks zinaloa. Naomba kujua diper ambazo hazina madhara kwa watoto angalau niwe namlaza nayo usiku.
Za kufua ni nzuri sana,hazilti fungus wala Muwasho nicheck nikuuzie.
0765554391
 
Mwanangu ndo anatumia na ni nzur sana hazija mdhuru just like dat...nilijaribu zingine but its like not good to him
Ni mambo ya kujaribu brand tofauti tofauti Kama hujajua aina inayomfaa mtotowako. Brand itayomfaa mtoto A si lazima imfae mtoto B.

Ila kuna brand haziwatoi harara watoto wengi, ndo hizi tunazosema ni nzuri.

Kwa wanaosema nappy ni nzuri zaidi ya dipers nadhani hayo ni mawazo ya ki "old school". Nappy ni reusable na diper ni disposable.
 
Predo zipo powaa sana ...zinatoka uturuki kama unataka ni pm kwa maelezo zaid

Hayaa baba umesikika ...but sio kila mtu tapeli mama wee, hiyo pesa ya pempas moja itanipeleka wapi..sema nikuibe wewe ndo kidogo afadhali naweza kufidia mambo yangu. PANDU WEE
Mkuu pengine umenielewa sivyo. Tatizo ni kuwa huwezi kutofautisha nani ni nani kwa hiyo tahadhari ni lazima.
 
Diaper ni Huggies tu sema ndio hivyo bei imechangamka
 
Pia kama unamuachia house girl mtoto ni vizuri kutumia nepi mana huwa wanajisahau sana kumbadilisha ambapo huweza kuleta miwasho, vipele na magonjwa kwa mtoto.
 
Kipande cha khanga na pini chafaa (joke) hahahahhaa
 
Back
Top Bottom