Recent content by Qtee

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Masada wa mawazo kurekebisha njia yenye michanga

    Habari jf, njia ya kuingia getini kwangu ina mchanga mwingi sana hali inayopelekea gari ndogo(iliyochini) kupita kwa shida. Naomba ushauri nitafanyaje ili njia iweze kupitika kiurahisi maana nikizoa bado gari inatitia
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Nahitaji line ya tigopesa mweye nayo njoo dm
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    1. Nahitaji chumba na sebule kiwe cha kisasa (tiles, gypsum). Iwe rahisi kufikika (barabara) na mazingira yasiwe ya uswahilini . Isiwe mbali sana na city center. Budget Tsh 100,000/mwezi 2. Pia nahitaji chumba kimoja maeneo ya karibu na city center
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu biashara ya chaki

    Nipo dsm
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu biashara ya chaki

    Habari wanajf, nahitaji kutengeneza na kuuza chaki. Naomba msaada wenu wa mawazo kuhusu chochote unachofahamu kwenye biashara hii. Asanteni
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu biashara ya chaki

    Habari wanajf, nahitaji kufanya biashara ya kutengeneza na kuuza chaki naombeni kujuzwa chochote mnachofahamu kuhusu biashara hii. Natanguliza shukurani zangu
  7. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

    Hahaah..kiongozi Bujibuji akitoa namba ya gari nipm nisaidie kuleta mrejesho kamili wenye details zote
  8. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Slow Love Songs Fans

    My love wa Westlife
  9. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Una mpenzi, lakini unataka tuwe marafiki

    Exactly
  10. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wasambaa wana sifa gani??

    Proudly mbwanga
  11. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupima HIV inahitaji moyo

    Umenikumbusha last time nilivyopima. Ilikuwa ni lazima kwa waajiriwa wapya kufanyiwa medical checkup ya kila kitu hadi HIV. Hivyo nilitakiwa kwenda kwenye hospital waliyorecommend alafu majibu hospital yenyewe itapeleka. Mpimaji akaniuliza uko tayari kupima HIV nikamjibu ndio ila majibu msinipe...
  12. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapenzi wa marafiki zangu, huishia kuwa wapenzi wangu.

    Iitakuwa wewe unawapa walivyomiss kwa marafiki zako ila bahati mbaya hawakuanzia kwako. Usicheze tu na hisia zao chagua mmoja utulie
  13. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    Mie io ya sauti....my boy yahn ana sauti nzito ya kubembeleza akiongea mimi chupi inalowa
  14. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wembaba ni wasumbufu sana kwenye mahusiano?

    Mabonge wanakuhusu....vimodel waachie wanaowaelewa
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Gharama za kumiliki spacio

    Watch your tongue kzba
Back
Top Bottom