Recent content by Qs Yu

  1. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Miliki gari ya heshima Fortuner ya mwaka 2013

    baki huko huko kwenye nissan CUBE yako mkuu... hii huiwezi..
  2. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

    Inatosha
  3. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Msc Accounting & Finance Vs MBA Corporate Management, Ipi bora?

    eeh eeh bwanaa... hukupata msaada kabisa? ulifanikiwa kusoma ipi kati ya hizo?
  4. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Scholarships for Tanzanians to study abroad

    Ahsante.
  5. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Kozi ya kusoma

    Nenda chuo cha mipango, soma pre-entry miezi miwili, then join certificate in rural development planning..
  6. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania TOURISM: New private island in Tanzania to open in April, 2016

    Damn...... This is so nice.. tunaanza kukimbizana na Cancoon sasaa..hahaaa
  7. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Yatakayojiri 2016 katika sekta ya Milki (real estate), Bei za pango kushuka

    Following....closely
  8. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Kazi za Sales and Marketing/Public relation Ndo Mpango Mzima

    Read and noted..
  9. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Mimi kuna mradi naufanya..consultants wamesisitiza nitumie mkongo kwenye milango na frame zake... probably mkongo ni mzuri zaidi..
  10. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kujenga na kuuza nyumba

    Yani nyumba ikifika hatua ya lintel ndo unauza? kwanini usimalizie kabisa?
  11. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya kujenga na kuuza nyumba Tanzania!!!

    Mrejesho ni muhimu sana...wapi mmefikia?
  12. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya kujenga nyumba

    kweli kabisa
  13. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za masomo ngazi ya Diploma na Certifacate

    website yenu?
  14. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za masomo ngazi ya Diploma na Certifacate

    Hivi mtu mwenye certificate ya journalism anaweza kusoma diploma ya Ualimu?
  15. Qs Yu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za masomo ngazi ya Diploma na Certifacate

    Tution fee sh 450,000 kwa muhula,hostel charges sh 200,000 kwa muhula,NACTE ASSURANCE fee sh20,000, huo muhula ni baada ya muda gani?
Back
Top Bottom