Recent content by qambalali Bura

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yaongoza kwa amani Afrika Mashariki

    Marekani ni yangapi mbona kny listi ya nchi zilizofanya vzr sijaiona
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Tatizo Uhuru tuliupewa bure ndo maana hatuna hasira

    mleta mada inamaana na ww ni panya mojawapo?
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Nani kampa Membe cheo Cha mwanadiplomasia nguli?

    ni manyumbu
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Ndugai aungana na Magufuli kuipinga Bandari ya Bagamoyo

    hivi kama bunge ni la wananchi na serkali ni ya nani?
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Ndugai na Zitto mmesikia kuhusu Bandari ya Bagamoyo?

    inaonisha ww unaamini kuwa Zitto amesoma huo mkataba sasa si ungeomba Zitto akupatie?
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda, Edwin Mhede kuwa Kamishna Mkuu TRA

    na ule uhuni unaofanywa na hao ma manager wa tra kule kariakoo na inahitaji mtu mwenye uzoefu wa mafuala ya kodi na changamoto zake?
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Mzee kaenda kuomba Namibia

    mbona hii nchi ya Namibia imekuwa ikitembelewa hata na vingozi wa zamani JPM kutembelea ndo imekuwa nongwa?
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa Chadema aliyehamia CCM arejea CHADEMA na kutubu dhambi zake

    nimesikia hata kigogo lowasa yuko tayari kurudi maana hakutimiziwa kile alicho ahidiwa
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akubalika duniani kote

    Kama hawakumshangilia mtu mbona na Kikwete alitajwa lakini alipotajwa Magufuli ndo alishangiliwa?
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu 2020: Tundu Lissu (CHADEMA) dhidi ya Benard Membe (CCM), hapatatosha !

    sasa hapo mwenye CCM halisi na nani? mwenyekiti wa chama na Rais au wengine?
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu 2020: Tundu Lissu (CHADEMA) dhidi ya Benard Membe (CCM), hapatatosha !

    mbona alisema kule CCM yeye ameshakatwa mkia?
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu 2020: Tundu Lissu (CHADEMA) dhidi ya Benard Membe (CCM), hapatatosha !

    membe mwenyewe kashasema kule CCM yeye amekatwa mkia maanayake ameshajua CCM hana chake
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Jeffery Smith:Tundu Lissu is one of the bravest humans I ever met

    sasa huu utukufu mnaompa lisu ndo maana Mbowe na kikundi cha wame mmiminia risasai maana unaposema ni maarufu kuliko mtu yoyote Tanzania inamaana ni maarufu kuliko mkuu wake ndani ya chama
Back
Top Bottom