Jeffery Smith:Tundu Lissu is one of the bravest humans I ever met

Hakuna mtu mwenye akili kama Lissu kwa sasa
Binafsi namkubali sana Lissu tatizo ni namna anavyowasilisha hoja zake. Ni mtu anayedhani anajua kila kitu na wengine wote ni maboya kwa hulka yake hana tofauti na Jiwe.
Naamini ameona speech aliyotoa Julius Malema bungeni wakati anampongeza Rais mteule. Hotuba imeshiba lakini ameitoa kwa adabu sana.
 
I would say he is the most selfish person ever.. Kwa ufupi ni msaliti wa taifa.. Mramba miguu wa mabeberu
 
Ameandika ujumbe huu kupitia twitter:

Tundu Lissu is one of the bravest humans I've ever met, and I'm deeply, profoundly proud to call him a friend. That he will return to Tanzania - and continue to push for change - after being shot nearly twenty times is a testament to his courage. It is truly awe-inspiring.

So what?
 
Lissu The Greatest
 
Ukikumbwa na dengue dawa ni panadol na maji mengi .

Huyo akiwa ' brave ' na akina Nyerere, Mandela, Machel, Lumumba, Kaunda, Nkurumah achilia mbali na wale Watanzania na Waafrika wengine waliopigania nchi zao tena Kipindi Kigumu kabisa cha Wakoloni na Mateso bila kusahau Manyanyaso yao kiasi kwamba leo hii Waafrika wengi tunakula Matunda ya Upambanaji Wao itakuwaje au nao waitweje?
 
Mtatukana sana ila ukweli upo mioyoni mwenu kuwa Lissu ni mtanzania pekee maarufu sana hapa duniani
sasa huu utukufu mnaompa lisu ndo maana Mbowe na kikundi cha wame mmiminia risasai maana unaposema ni maarufu kuliko mtu yoyote Tanzania inamaana ni maarufu kuliko mkuu wake ndani ya chama
 
Wewe ni zaidi ya shetani tu
sasa huu utukufu mnaompa lisu ndo maana Mbowe na kikundi cha wame mmiminia risasai maana unaposema ni maarufu kuliko mtu yoyote Tanzania inamaana ni maarufu kuliko mkuu wake ndani ya chama
 
Back
Top Bottom