Kigogo wa Chadema aliyehamia CCM arejea CHADEMA na kutubu dhambi zake

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,874
Kigogo wa chadema ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa serikali ya mtaa huko Tabata na mjumbe wa mkutano mkuu ambaye alihamia CCM mwaka jama amerejea rasmi Ufipa.

Akiongea na waandishi wa habari meya wa ubungo mh Jacob amesema kigogo huyo amerejea baada ya CCM kushindwa kumtimizia yale waliyomuahidi.
Bonny amesema wanachadema waliohamia CCM wengi wameomba kurudi na kwa kuanzia vigogo wengine watatu watarejea hivi karibuni.

Kwa kumalizia Meya Bonny amesema wahamaji hao waliahidiwa fedha na vyeo kule lumumba lakini ni mmoja tu aliyebahatika kupata unaibu waziri na waliobakia waliishia kupata " kishika uchumba" tu na bado wanalia hadi leo ila milango ya Chadema iko wazi kwao kwani nyumbani ni nyumbani tu.

Source ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
 
Hawa ndiyo wanasiasa Baba wa Taifa aliowaita MALAYA. They are after money a.k a matumbo yao. Shame on them!
 
Gango Kidera arejea CHADEMA

- Aibua mazito kuhusu kile kinachoitwa kuunga Mkono jitihada.
- Akerwa wanachama wapya CCM kutengwa na kuendelea kuitwa Wapinzani
- Amshukia Katibu Mkuu CCM, Bashiru Ally kwa kutosikiliza ushauri
IMG-20190528-WA0048.jpg

- Awaomba radhi viongozi na wanachama wa CHADEMA..
 
Hajanunuliwa ee? Kwa kawaida kama mtu alihama kwa kutfuta mali amerudi ili 2020 apate nafasi ya kugombea.
 
Back
Top Bottom