Recent content by Q-liner

  1. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Zitto Mshauri OMO kuwa Pragmatist,Acheni Ujinga Pelekeni Majina ya SUK, Kususa Hakusaidii KITU

    We Jamaa huwa ni mtu wa kupenda maslahi sana na unajua kupaka rangi hayo maslahi yako ya kijanjajanja huwa unaanzia mbali sana. Ni hivi mtu kama wewe inabidi mtu uwe makini sana la sivyo kumpoteza mtu ni rahisi sanq halafu ukamgeuka na ukamsababishia matatizo makubwa. Staili za...
  2. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka, Mali za Gertrude Rwakatare. Watoto wake waingia kwenye mgogoro mzito

    Hana mume ni mshikaji anaitwa Sadick ndo mwenye shule ya East Africa ya Dodoma,mjanja mjanja tu!Namjua vzur
  3. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Hakuna waziri aliyegeuzwa geuzwa kama kondomu za Kagera kutoka Uganda km simbachawene, nakusihii tetea katiba.

    Si kwamba hawezi kuwa na msimamo hapana,ni mfanyabiashara mkubwa wa malori hivyo anaogopa. Akileta za kuleta hana chake na usishangae semi trailer zake zinapigwa bei.
  4. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali haipati wazo la kuanzisha miji mipya ya kimkakati ya maendeleo jumuishi?

    Ni wazo zuri sana lakini nikukumbushe tu wazo kama hili si geni ,kwani case study yake imefanywa kwenye kilimo ( BBT) limeishia kumtajirisha Bashe na viongozi wengine na madudu makubwa yanaendelea tu! Pata muda fuatilia hii miradi ya kilimo, kwahiyo wazo lako ni zuri lakini ni kwa uongozi wenye...
  5. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Hivi ile project ya Kilimo ya BBT iliishia wapi?

    Wapi??? Yamenunuliwa mashine za umwagiliaji za bei kubwa sana tena 10% ndo watu wamekula sana. Najua mengi sana Kuhusu huo mradi itoshe kusema : Tume ya Umwagiliaji ,wakala wa mbegu,wizara ya kilimo!kuna watu wamepiga pesa za hatari. Achans na BBtT kuna miradi ya umwagiliaji inafanyika kila...
  6. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Hivi ile project ya Kilimo ya BBT iliishia wapi?

    Imepigwa pesa pale na bado inapigwa !vimechimbwa visima vya kutosha na zimenunuliwa ma mashine za kutosha ,watu wamepiga sana hela!!
  7. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo mpaka sasa, ingekuwa ni mimi ningecheza karata moja tu na ndo iliyobaki

    Hawezi ana IQ ndogo sana sana
  8. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Zitto Mshauri OMO kuwa Pragmatist,Acheni Ujinga Pelekeni Majina ya SUK, Kususa Hakusaidii KITU

    Wewe ni kibaka tu wa siasa!!ndio mliomshauri aingie kwenye uchaguzi wakati reform zilikuwa zinahitajika!sasa kadhulumiwa jimbo na halipat tena! Maisha hayana janja janja, ukitaka janja hizo lazima uwe kibaka kama wewe na mwenzako madelu!
  9. Q-liner

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU fuatilieni hii

    Habari. Nikiwa kama mdau kwenye sekta ya Maji Kwa muda mrefu kuna jambo nimeliona halipo sawa. Naomba TAKUKURU Mfuatilie maana wahusika wanajulikana. Ni mazoea kwasababu yanafanywa kila siku lakini kuna muda inafika Athari inakuwa kubwa kwa Taasisi . Kwenye sekta ya Maji kuna upande unaitwa...
  10. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kununua kiwanja hakikisha survivey plan iko approved wizarani

    Ni vema kuitaja Ili watu waweze kuijua Ili mtu asiingie tena kwenye mtego wa matapeli
  11. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Kandarasi nyingi kuchukuliwa na wachina, ni ubora au unafuu wa gharama?

    Rushwa tu hakuna kingine. Nilienda Kigoma nikakuta kuna Mchina anafanya mradi fulani akaniambia sasa tunataka tujipenyeze kwenye wizara fulani ili nako tuwe tunapata miradi. Akaniambia hebu nisaidie kupata watu huko ili nipate miradi. Nikamwambie ujanja huo sina na huko sikujui. Kuna nini...
  12. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Kluger For Sale

    Imepigwa rangi mjomba ilishawahi pata majanga?
  13. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Mama Sinyali Boss la Kariakoo

    Namjua vizuri sana huyu mama zaidi ya kuuza vipodozi vya haramu ,hana kitu yoyote uyo!! Anawadanganya danganya watu kwenye social media.
  14. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Hawa Waha wanaokopesha vyombo ni wachawi kweli kweli

    Ivi kwanini mtu anakua na roho ya utapeli,kwanini mtu anachukua kitu Cha mtu unajua kabisa sitomlipa. Aisee tubadilike.
  15. Q-liner

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anadanganywa sana Mapinduzi ya Kilimo ya Bashe

    Nafikiri huyu Jamaa humfahamu vizuri, nikwambie tu huyu yeye mwenyewe haamini katika hicho kilimo.
Back
Top Bottom