Q-liner
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 350
- 652
Habari.
Nikiwa kama mdau kwenye sekta ya Maji Kwa muda mrefu kuna jambo nimeliona halipo sawa.
Naomba TAKUKURU Mfuatilie maana wahusika wanajulikana.
Ni mazoea kwasababu yanafanywa kila siku lakini kuna muda inafika Athari inakuwa kubwa kwa Taasisi .
Kwenye sekta ya Maji kuna upande unaitwa Rasilimali za Maji (unahusu utunzaji wa vyanzo vya Maji).
Sasa Kuna department inaitwa Mabonde wengine mnaielewa.
Sasa Kuna Bonde linaitwa Wami-Ruvu japo Kuna Mabonde mengi kama Pangani na Rukwa yanaongoza Kwa ulaji wa pesa za bure tu.
Kwaivo vyombo vya ulinzi fuatilieni Kati ya Bonde Moja hapo nililolitaja Mkurugenzi wake ameombwa kiasi Cha shilingi Milioni 100 na Kamati ya Bunge ya Maji na Mifugo Ili wamzibie ishu zake naona huyo Mkurugenzi analalamika Kila mahali.
Vyombo vya ulinzi na Usalama fuatilieni.
Nawasilisha.