Recent content by Pyschothought_doctor

  1. Pyschothought_doctor

    Barua ya Malcom X: Huko Makka Saudi Arabia

    Huyu jamaa Malcolm X me namwona km snitch Anazungumzia ubaguzi wa amerca hakujua zaidi ubaguzi unaofanywa na haya majibwa ya kiarabu asingethubutu kamwe kuandika waraka wake wenye muono wa namna hiyo anyway ndio maana wa marekani walimpasua bichwa lake mapema maana wapuzi km hawa huwahawachelewi...
  2. Pyschothought_doctor

    Televisheni ya Sh400,000 yawapeleka miaka 30 jela

    Tanzania kichwa cha mwendawazimu kama alivuosemaga mh. mmoja yaani Screen ya 400k miaka 30 jela lkn majizi ya mabilioni wapo uraiani na wanaendelea kutuongoza😭
  3. Pyschothought_doctor

    Natamani hata kuondoa uhai wangu

    Pole sana ndugu jambo kama hili si kwako tu huwakumba wengi sana unachopaswa kufanya ni kukubali kwamba umefanya makosa tayari,kubali kuanza upya kwa sababu 500k umetumia kwenye gambe kwa ridhaa yako mwenyewe na starehe zako kwa hiyo kubali adhabu iliuojipatia mwenyewe utatoka taratibu kwenye...
  4. Pyschothought_doctor

    Huenda huwa tuna sex na majini

    utafiti wako kwa aslimia nyingi unaweza ukawa na ukweli ndani yake kwa sababu hii kitu nimeshisikia kwa jamaa zangu wakaribu pia wakizungumzia hilo ukiachana malaya wanaojiuza kwenye majiji makubwa ambapo sio rahisi kumtambua mtu katoka wapi pia kunabaadhi ya mikoa km Singida pale kirima...
  5. Pyschothought_doctor

    Natafuta rafiki wa kiume

    All the best uwazuri ila naomba ukishapata utupatie mrejesho hapahapa kwa ajili ya kupunguza usumbufu na msongamano maana kuna wengine huenda wana sifa lakini wameshelewa kuitikia wito wako au sab
  6. Pyschothought_doctor

    Natafuta rafiki wa kiume

    Subiri wenye sifa zako waje me nimecheka kuona age ya 26_25 ati watoto wakupishe 🤔
  7. Pyschothought_doctor

    Tuongee Kifamilia leo, kama unataka kuoa au kuolewa na mna imani za dini tofauti jitafakari upya

    Typing.....................................................................................
Back
Top Bottom