Recent content by pyolomoko

  1. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

    Tatizo letu kuu kama Taifa ni "HAKI" ikionekana kwenye Nchi moja ambayo Mungu amewapa na ikatokea baadhi ya wana wa Nchi wanajiona wana haki kuliko wengine lazima mmomonyoko mkubwa wa Utu kutokomea. Viongozi wetu wanayodhamana kuturudisha kwenye mstari kwa kutuunganisha. Makundi yote yaje pamoja...
  2. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Kumbuka kanisa Lilikuwa TAG, baada ya ule mgogoro hayati Moses kulola na kundi lake waliamua kujitoa TAG na kuanzisha EAGT. Uporaji uaozungumziwa ni wa mali za TAG kwani viwanja na makanisa yaliyokuwa yanatambulika TAG yalibadilishwa na kuwa EAGT
  3. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Pole sana Ally Bananga, sisi ndio makamanda wa CHADEMA, unavuna ulichopanda na iwe fundisho

    Kama kiongozi kuna kutoa maoni na kulalamika mitandaoni yeye anayonafasi kubwa ya kuketi na wakuu wa chama na kuyazungumza lakn mwisho wa siku wengi wape kama maamuzi yameshatolewa hata kama yeye alikuwa na maoni tofauti bado maamuzi ya vikao halali vya chama alipaswa kuwa upande huo
  4. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu CHADEMA kukosa Ubunge sio sababu ya kuichukia nchi yenu

    Jamani pendaneni,,, bishaneni kwa hoja sio kebehi na matusi sisi ni watu wa Taifa moja, mbona ustaarabu imekuwa bidhaa adimu?
  5. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa mikia kueleka game yao na plateau

    Tatizo utopolo fc ni wasahaulifu sana, utopolo fc hawataki mashabiki wa Simba kwenye mechi zao na hata wanadiriki kufanya uhuni uliopitiliza wa kupiga watu Leo mnaambiwa shughuli hii haiwahusu ni ya kikubwa nnalilia! Jaman
  6. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu CHADEMA kukosa Ubunge sio sababu ya kuichukia nchi yenu

    Kikubwa tupendane!!! Pendaneni! Acheni chuki sisi wote ni sawa Mungu katuweka kwenye hii Nchi Tanzania wote tu sawa! Hakuna mwenye haki miliki ya Tanzania peke yake. Chuki ni mbaya inaweza kusababisha mfarakano kwenye hii familia Tanzania Pendaneni wenzenu kuwa upinzani sio sababu ya kuwachukia...
  7. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Unatakiwa kutulia ili kuelewa nia ya mwandishi
  8. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada; Mchumba hataki mimi niende kusoma

    Mshirikishe Mungu kwa kuomba juu ya hilo naamini kwake hakitashindikana kitu utapata ruhusa
  9. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada; Mchumba hataki mimi niende kusoma

    Usimpotoshe msaidie tadadhali
  10. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Lissu awe Mwenyekiti CHADEMA na Lema awe Katibu

    Kajitahidi kwa sehemu yake hapa alipokifikisha chama, lakn ni kweli anahitajika mtu mwingine mwenye mawazo mapya kukipeleka chama kushika dola
  11. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Lowassa hawezi kuwa Rais 2020, CHADEMA wanahusika kunichafua

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] alikuwa hatokwi jasho? Jasho la ,,,,,,,,,
  12. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

    Usiwadangaya wazee wa matopeni hivyo, wakiichukua hii mbinu kesho wameliwa
  13. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwanamke analia wakati wa sex jiulize sana!

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  14. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Ili Magufuli aibadilishe Tanzania, ni lazima awe Rais kwa zaidi ya miaka kumi

    Kadiri miaka inavyokuwa mingi kwa magufuli madarakani ndivyo mporomoko utakavyokuwa mkubwa wa uchumi, maadili na mshikamano wa Nchi yetu.
  15. pyolomoko

    JamiiForums Tanzania Hii ndoa inaanza kuwa ngumu kwangu, nawaza kufanya hivi

    Muombe Mungu akupe akili zileee,, pale aliposema kaeni na wake zenu kwa AKILI. akupe tu akili basi ndio solution
Back
Top Bottom