Ukiona mwanamke analia wakati wa sex jiulize sana!

Haa Wee wahaya Wana mambo yao acheni tu..ukiachilia mbali sifa zao nyingine nyingine ila kwenye hio kitu nimesalute kwakweli.
Halafu wahaya wanapenda mwanamke ukojoe maji mengiiii eti ndo wanafurahi. Mi katika pitapita zangu sikuwahi kukojoa maji mengi I swear nikashangaa hio siku fanyana mpaka vitu vyamotooo vinaruka chichichichiiiiiiiiiiiii!
Ulijikojolea
 
Si kila mwanamke anaelia wakati anafanya mapenz anaskia raaha...... Wengine wanaukimwi wanalia kukuonea huruma unavyokufa kizembe
Kweli JF hata ukiwa na stress sometimes story zingine inabidi ucheke tu
 
Si kila mwanamke anaelia wakati anafanya mapenzi anasikia raha,wengine wana UKIMWI wanalia kukuonea huruma unavyokufa kizembe.
Huko kulia unakokusema ni kwa aje? Kilio cha furaha na cha maumivu ni tofauti kwa hiyo utafahamu tu
 
Back
Top Bottom