TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

Siyo EAGT tu! Madhehebu mengi ya kiroho hayaweki wazi mapato na matumizi kwa waumini! Waumini wanakuja kushangaa hiki kikifanyika basi. Hii ni kwa sababu madhehebu haya siyo taasisi mf.Katoriki,Lutherani,Anglikani,nk bali ni mali ya mtu.
 
Tunawaomba TAKUKURU waje na huku Roman Catholic. Waje Takukuru kuchunguza RC maana sio kwa michango na sadaka kwa lazima. Kila kigango au parokia mnatakiwa kuchangia kiasi fulani nk. Siku hz watu wengine hatuendi kanisani kwa sababu ya michango na sadaka...
Sadaka ni ibada Mkuu.
 
Kumbuka kanisa Lilikuwa TAG, baada ya ule mgogoro hayati Moses kulola na kundi lake waliamua kujitoa TAG na kuanzisha EAGT. Uporaji uaozungumziwa ni wa mali za TAG kwani viwanja na makanisa yaliyokuwa yanatambulika TAG yalibadilishwa na kuwa EAGT
 
Hata mi naona taasisi zote za dini. Hata za dizain ya nabii tito zipitiwe na ripoti iwekwe ubaoni.
 
Tunaomba TAKUKURU waende kwenye Taasisi ya dini ya Gamanywa wajifunze uovu ukoje na watashika midomo kwa watakachokiona. hakuna anayemsifia bure JIWE, ni kutafuta kinga fulani ya uhalifu alionao
 
Yule Alhaji Mussa mpiga debe wa Jiwe hawezi kuhojiwa hata siku moja. Ni sawa na kusema ahojiwe Gamanywa au Mzee wa Upako. Hao ni viongozi wa kusifu na kumwabudu mungu JIWE wa Chattle.
 
Mkuu, uko sawa; Dr. Brown Mwakipesile analalamikiwa na Wasukuma baada ya kumpa adhabu Msukuma mwenzao aliyekiuka maadili ya Ukristo, uaskofu. Wasukuma hutawasikia wakilitaja hilo jambo though lipo wazi sana. Hata mimi najua chanzo kikubwa cha hu mgogoro.
 
Mkuu, kwa haya unayo yaongea it sound like unayajua mengi; ungeeleza ni kwanini hasa mgogoro hu ulianza hasa baada ya askofu msaidizi kutemwa uongozi? Taja hasa sababu ya yeye kuondolewa kwenye hiyo nafasi, huyu askofu msaidizi hasa ndio man of the match. Anachokisema huyo jamaa uliye m quote kipo sahihi, shida ni UKABILA, Wasukuma wanaamini ni lazima awepo msukuma mwenzao pale kwenye kiti; Mwakipesile nae amekaza, kashikiria msimamo wa misingi ya Kibiblia
 
Mkuu, uko sawa; Dr. Brown Mwakipesile analalamikiwa na Wasukuma baada ya kumpa adhabu Msukuma mwenzao aliyekiuka maadili ya Ukristo, uaskofu. Wasukuma hutawasikia wakilitaja hilo jambo though lipo wazi sana. Hata mimi najua chanzo kikubwa cha hu mgogoro.
Huyo askofu mnayemsema ni mskuma alizaa nje ya ndoa zamani sana hata kabla hajaingia kanisani kwenye utumishi sema Dr.Brown Mwakipesile kamwaga pesa ili kumchafua huyo msukuma kwa vile ni threat kwake kwa kifupi mikono ya Mwakipesile inanuka na imejaa rushwa
 
Kuandika mitandaoni rahisi sana. Utakuwa humjui Mwakipesile wewe! Hebu tuambie huyo unayesema alizaa nje ya ndoa zamani sana ilikuwa lini? na uzinzi maana yake ni kuzaa nje ya ndoa?
 
Back
Top Bottom