Imezuka tabia ya kutumiana picha za nyu....ch zenu maana tangu huu mwezi uanze zilikuwa zinanikatizia na mwenzenu nilikuwa kwenye kwaresma, leo nimeamua kufungua naona mara kiwiliwili mara kidari mara madodo yametulia, yaani hapa mzuka umenipanda ila najiuliza takwimu ya maambukizi imepungua je...
Damu ya mtu haimwagiki bure na roho ya mtu haitoki ikamwacha anayeitoa. Kama ni wa madawa ya kulevya itafahamika tu mbona tunahukumu kama vile tunashabikia kuuwawa kwake?
Hata wamchafue vipi bado ataendelea kuonekana ni mmoja kati ya viongozi shupavu wa Chadema. Sikatai kutetereka kupo lakini mtu anayerudi kwenye mstari ndo shupavu naona wamechelewa sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.