Imezuka tabia ya kutumiana picha za nyu....ch zenu maana tangu huu mwezi uanze zilikuwa zinanikatizia na mwenzenu nilikuwa kwenye kwaresma, leo nimeamua kufungua naona mara kiwiliwili mara kidari mara madodo yametulia, yaani hapa mzuka umenipanda ila najiuliza takwimu ya maambukizi imepungua je kwa namna hii si itaongezeka jamani?
Tuache utani kuna wadada mashahlah jamani
Tuache utani kuna wadada mashahlah jamani