Recent content by pwita

  1. P

    Story: Kutega(Seduction)

    Hii hapa ndio ilifikia mwisho? Maana kwenye ile ya mahusiano inayoendelea umesema hujawahi kuweka story bila kumalizia.
  2. P

    Story: Mahusiano

    Unaanzisha story halafu humalizii. Mara unarukia kuanzisha nyingine.
  3. P

    Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

    Siku hizi youtube wanaonyesha watu wanavyozaa live. Hadi kichwa kinavyotoka na kila kitu. So hakuna siri tena.
  4. P

    Story: Kutega(Seduction)

    Hapo hadi mwezi ujao ndio unaweka nyingine.
  5. P

    Story: Kutega(Seduction)

    Mwandishi kaingia mitini.
  6. P

    mgawo wa umeme umeanza?

    Naomba kujulishwa wanaJF kama mgawo umeanza au kuna tatizo gani maana huku ubungo (baadhi ya maeneo) umeme umekuwa adimu wiki ya pili hii. Mfano jana umekatwa saa kumi na mbili jioni umerudi leo saa 7 mchana. Ukawaka hadi saa 9 ukakatika. Ukarudi saa 10 jioni. Saa 12 umekatika na haijulikani...
  7. P

    Majina ya Majaji wanaolinda wauza madawa ya kulevya yatajwa! Wamo Pendo Msuya na Dr Fauz Twalib

    Na jamaa mwenye huo mzigo wa kwenye maiti Mbeya anapeta tu mtaani na bado anaendeleza libeneke.
  8. P

    Naomba kuuliza kwa wanazuoni wa kiislamu

    sio kweli. tunaswali mara 5 kwa siku. na katika kutia udhu ni sunna kusukutua hata kama umefunga.
  9. P

    Naomba kuuliza kwa wanazuoni wa kiislamu

    hakuna aya yoyote katika quran wala hadithi inayosema ukifunga usimeze mate. hizo ni porojo tu za wasiojua sheria ya dini. uislam sio mgumu kiasi hicho.
  10. P

    Mwenendo wa Treni ya Dar (Ubungo Stesheni) si mzuri

    Kwakweli tukifika tabata nakosa raha. anakuwa spidi hadi ikikata kona tunayumba. kuna pale darajani na mbele kuna mahali anahama njia kuna kona sio kali, anakuwa spidi hadi mnaegemea upande. Treni ya Spain ilikuwa spidi kwenye kona ndio ikaacha njia. Nikikumbuka hiyo tu, sitamani kupanda treni...
  11. P

    Ina maana gani kuning'iza|kutundika viatu juu ya nyaya za umeme mitaani?

    tangu ameanza kuongoza hicho kitengo, ni mafanikio gani yamepatikana? ninavyoona ndio kwanza biashara inashamiri.
Back
Top Bottom