Recent content by Pwaka

  1. P

    Kwenye utabiri wa Lema bado Spika Ndugai tu

    Lema ni msemaji wa wapanga mipango NB: Ndugai ni miongoni mwa wapanga mipango
  2. P

    Je, hizi sauti za Sabaya kwenye hii video ni za kweli au ni za kutengeneza?

    Hapa Lema alikuwa anamrekodi Sabaya spate attention na amefanikiwa Nimependa maneno ya Sabaya "Lema we muhuni na Mimi pia muhuni" Kumbe Lema ni muhuni tu ila kamuotea muhuni mwenyewe, ila pia najiuliza kwanini Lema kawahusisha wachaga kwenye mazungumzo yake, Ni mpango uliosukwa??
  3. P

    Kiufupi Polisi wako biased sana kwa CHADEMA. Hatua waliyofikia si nzuri

    CHADEMA NA CCM woteni washenzi tu sema mshenzi mmoja anamiliki dola mshenzi mwingine anamiliki magenge ya kitapeli
  4. P

    Sinema ya avatar(2009) asili yake ni masai

    Kwani wangewatumia wamasai ingekuwaje!?
  5. P

    Kwa wanafunzi walio dahiliwa SUA

    Unaweza soma chuo chochote ili mradi kuwe na pendekezo lako
  6. P

    Kwa wanafunzi walio dahiliwa SUA

    HAPANA! mimi pia nililipata hivyo nikasoma diploma
  7. P

    Viongozi wanaofaa na wasiofaa kuwa Marais mbeleni

    mimi ni mkatoliki na naomba uthibitishe sehemu ambayo gwajima alidhihaki au kutukana wakatoliki
  8. P

    Gwajima kuwasha moto tena Jumapili hii

    Petro aliyekabidhiwa kanisa na Yesu ambaye aliitwa mwamba alikemewa "Rudi nyuma shetani" kwa mawazo mabovu, Je Ruwaichi na Nyaisonga ni akina nani hao wasikemewe?
  9. P

    Gwajima kuwasha moto tena Jumapili hii

    Huna hata akili alokwambia kanisa ni Ruwaichi ni nani?
  10. P

    Gwajima kuwasha moto tena Jumapili hii

    Mimi ni mkatoliki na nasimama na GWAJIMA
  11. P

    Gwajima kuwasha moto tena Jumapili hii

    wewe ni mkatoliki mbumbumbu uliyeshikiwa akili na Ruwaichi na genge lake la wanafiki na matapeli na mimi ni mkatolilki wa kuzaliwa kuishi na kufa ila nasimama na Gwajima katika hili na sio kuburuzwa buruzwa hovyo na makasisi wachumia tumbo wanaondekeza visasi vyao binafsi
  12. P

    Uchambuzi: Adhabu kwa wabunge Silaa na Gwajima ni funzo kubwa kwa watanzania

    katikati K mtoa mada nawe ni K tu
Back
Top Bottom