Wataalam msaada ninahitaji kuinstall Netbotz rack monitor 570 datacenter lakini tatizo nilokutana nalo kila nnapoconnect sensor zangu hazionekani kwenye pod list tafadhali msaada kwa mwenye idea,
Mkuu Cto hiyo command uloiandika hapo chini naitumiaje naomba nifafanulie kidogo mi natumia ubuntu lakin nipo kigui zaid ila napenda nisogee zaidi.?
Je nikiupgrade kutoka kwenye hii version application na data ambazo nimeshaziweka ntalazimika kuziinstall upya au itaziretain?
Shukran mkuu.
Mkuu nimefanikiwa.
Nilifanya ifuatavyo hata kwa faida ya wengine watakaokutana na haka kachangamoto.
File>connect to server>windows share+servername bila kuweka\\+connect> username+password+ full domain name.
Hapo wakuu nikafanikiwa
Wadau natumia ubuntu 11.04 kuna data nataka niziangalie kutoka kwenye file server. je nifanye nini ili niweze kuzipata.
kwenye window tushajizoelea ukifungua run > //server name>enter ushafika huku kwenye ubuntu inakuwaje?
hivi wadau kwa zawad ndogondogo kama za electronics ziwe aina moja kama camera,simu au ipod Wawaletea watu tofauti kitu aina moja idadi mwisho kiasi gani unaweza pita nazo bila kulipia ushuru
Pole mdau nadhan wakat mwingne ukipata fursa ni bora ukapita ya kuzunguka utatumia muda mfupi kuliko hiyo njia fupi kwani nadhan serikali imeshasahau kabisa umuhmu wake kila siku imekuwa ahadi hewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.