Wadau natumia ubuntu 11.04 kuna data nataka niziangalie kutoka kwenye file server. je nifanye nini ili niweze kuzipata.
kwenye window tushajizoelea ukifungua run > //server name>enter ushafika huku kwenye ubuntu inakuwaje?
Shukran mkuu.
Mkuu nimefanikiwa.
Nilifanya ifuatavyo hata kwa faida ya wengine watakaokutana na haka kachangamoto.
File>connect to server>windows share+servername bila kuweka\\+connect> username+password+ full domain name.
Hapo wakuu nikafanikiwa
Mkuu Cto hiyo command uloiandika hapo chini naitumiaje naomba nifafanulie kidogo mi natumia ubuntu lakin nipo kigui zaid ila napenda nisogee zaidi.?
Je nikiupgrade kutoka kwenye hii version application na data ambazo nimeshaziweka ntalazimika kuziinstall upya au itaziretain?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.