Recent content by putinelimusu

  1. putinelimusu

    Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

    Mwamba anaitwa Elias kihombo alikuwa na sifa sana huyu
  2. putinelimusu

    Msaada kuhusu upatikanaji wa mashine za kubangua Karanga na gharama zake.

    Wakuu habarini za asubuhi kama kichwa cha habari kinavypjionesha hapo juu ningeomba kupata msaada kuhusu ni wapi naweza kupata mashine ya kubangua karanga na gharama zake. Natanguliza shukrani zangu.
  3. putinelimusu

    Man City hii sasa sifa, khaaa..!!!

    pep the master!?
  4. putinelimusu

    Gadiola amenipa funzo

    moto wa hawa jamaa sio mdogo
  5. putinelimusu

    Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

    kwa kweli uchambuzi mwingi humu ni wa ushabiki usio na fact za kimsingi kwa mshabiki wa kawaida katika soka anaweza akamsifia dinho na kumponda messi ila nenda tu youtube utafute kitu ya kuitwa magical messi uone kwamba anayoyafanya kuna mtu anaweza kuyafanya?
  6. putinelimusu

    Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. putinelimusu

    NAHITAJI DUMBBELLS ZA KILO 5

    pia kuna wachu huwa wanachonga hizi wale wanaofua vyuma Sent using Jamii Forums mobile app
  8. putinelimusu

    Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

    unatakiwa uvae nguo ya kawaida tu isiyobana sana wala isiyo pana sana na kama ni mwanaume basi iwe ya kiume na kama ni mwanamke basi iwe ya kike. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. putinelimusu

    Dunia ya Soka impe Luka Modric heshima yake

    hakika nakosa neno juu ya fundi luca! sina neno zaidi ya kumuangalia akicheza! hakuna kocha atakaefika Madrid na kuwaza kumuweka bench huyu bwana mdogo simply the best. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. putinelimusu

    Rematch Floyd Mayweather Vs Canelo Alvarez.

    team money all the day Sent using Jamii Forums mobile app
  11. putinelimusu

    Rematch Floyd Mayweather Vs Canelo Alvarez.

    mkuu mimi ni mshabiki mkubwa sana wa pretty boy jinsi alivyo na mchezo mgumu na pia anajua kucheza na kila bondia kutokan na anavyo kuja na conor nina kuhakikishia hawezi hata kumgusa Floyd ambaye ana good target na good defense, lakini pia mm ni mshabiki mzuri wa canelo Alvarez kijana ameanza...
Back
Top Bottom