Recent content by PUSHKIN 2000

  1. P

    R.I.P degree yangu

    mungu hausiki na madude haya..
  2. P

    Kumbe wazungu huwa hawabomoi maghorofa wanapotengeneza flyover

    Hivi majengo yenu ya UBUNGO..... construction materials, including aina ya nondo, sizes na usukwaji...vilitengenezwa originally ku accomodate flyover or high ways being very closely? hivi unajua effect ya vibration and milio ya magari kwa binadamu na majengo.... hii ndio shida ya wafuasi wa...
  3. P

    Kumbe wazungu huwa hawabomoi maghorofa wanapotengeneza flyover

    Upeo wako una kikomo Kaka...... Majengo ya ubungo yana uwezo wa kuhimili magari makubwa kupita karibu ...
  4. P

    Bashe aungana na Zitto juu ya mdororo na taarifa ya hali mbaya ya nchi. Uchumi unakuwa kwa 5.9% mabenki hoi

    CHADEMA sijui kama wanamuelewa huyu DOGO....nyinyi AGENDA yenu kubwa ni TUNDU LISSU:D:D:D
  5. P

    Kashfa zote walizoibua CHADEMA juu ya CCM ni za kutunga

    Most Uzuri hata ndani ya serikali na katika CCM bado kuna waandamizi wako huko kwa kuzuga lakini ukiwachana bado wana damu za LOWASSA mtupu na wana roho za kichadema...... waliofanikisha MADILI ya hapo juu majority wana katika kategori hizo mbili...... kama si Roho za kichadema anakuwa...
  6. P

    Waziri Ummy Mwalimu amebadilika apongezwe!

    Mkuu hili ndio tatizo letu WaTZ ni rahisi sana kusahau... Mbona haya mambo yalikuwepo kisirisiri na kwa miaka mingi ... kama unakumbuka kulikuwa na syrndrome kwenye vitengo vya taasisi mbali mbali za kiserikali hadi mashirika ya umma mfano Shirika la BIMA la taifa with MBEYA syndrome...
  7. P

    Waziri Ummy Mwalimu amebadilika apongezwe!

    wewe si unamkubali Mwenyekiti...mkwepa kodi...aliyemiliki jengo la NHC kiharamu....more important unawakubali MAPAPA waliobobea ambao mmewasafisha kwa madodoki....
  8. P

    Ili CCM iwe mpya lazima ifanye Maamzi yafuatayo...

    CHADEMA KWELI INAZIDI KUPAUKA!!!! MAJIZI NA MAFISADI YA CCM YAKINGIA CHADEMA YANAGEUKA VICHWA....
  9. P

    CCM vs CHADEMA:Kipi ni chama cha mafisadi?

    MAFISADI WALIZALIWA CCM YA KALE but WANAHIFADHIWA NA KUSTAAFIA CHADEMA....
  10. P

    Kwa CCM hii, leo Magufuli akihama chama ataambiwa ni fisadi

    Kaka hawa watu wote siyo INNOCENT..... Mzee Mzima hakuwashika mikono kuwanadi.... Wengine kama Nyalandu...hata ukuu wa wilaya hakupewa...
  11. P

    Nyalandu: CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya

    Cha ARUSHA KIMEPANDA TAYARI.....hii ndio shida ya CHADEMA hatua mbili MATUSI...
  12. P

    Nyalandu: CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya

    Kajiandaeni Kumpokea MWANAUME MASHINE...kwa matarumbeta, madodoki na JIK...
  13. P

    Hali ya Tundu Lissu imeendelea kuimarika na sasa anaweza kula mwenyewe

    Hauna Nyimbo CHADEMA WEWE..... SIASA MPAUKO CHAKA LA WASALITI NA MAFISADI.... Peoples!
  14. P

    Nyalandu: CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya

    Mkuu Choo cha kike I prefer than cha kiume.... Kwani kuning'inia kwenye yale mabeseni sio mchezo.... Time will tell my friend.... Uzuri wa watanzania ni wepesi wa kusahau na tunakipaji cha kulalamika..... Tuliimba mabadiliko na rais mwenye maamuzi mungu kwa vile anatupenda TUMEPATA RAISI...
  15. P

    Rais Magufuli: Nimeidhinisha shilingi bilioni 147 mikopo ya wanafunzi, nitashangaa wanachuo wakihangaika

    wenye VITALU na wazee wa POSHO.....sisi wa kawaida mambo poa TU...... lini unahamia NAIROBI?
Back
Top Bottom